Kwenye huu uziWapi wamewaumiza vichwa ?
Sidhani πKwenye huu uzi
π€Kuna yule jamaa sijui nani sijui kachapiwa na kajamaa tu kembamba, kinacho nishangaza ni ule mwili wa aliechapiwa bonge la mwili JUMBA kifua six pack Nini, sa nikajiuliza hayo mabody wanayo taka mademu ni yapi kama hajarudhika na mwili wa jamaa
Kwanini apoteane? Hizo story za kusubiri kila aliyetenda ubaya apoteane ni za alfu lela ulela.Jamaa yupo vzur sasahivi nadhan kaoa mkenya wanaishi marekani kama sio ulaya, ila yule Lisa nahis kama kapoteana
Labda umaarufu au labda alikuwa anampenda. Pesa hakuwa nayo huyo Mabeste.Mwanamke alifata pesa na umaarufu
Dua la mwewe. Kwenye maisha hakuna kitu kimenishinda kama kuwaza negative baada ya kupishana na mtu..Kwanini apoteane? Hizo story za kusubiri kila aliyetenda ubaya apoteane ni za alfu lela ulela.
Sheβs living her best life.
Hapana , ego yako usinipandikize mimi, ni projection unafanya.Hii aina ya ego kutoka kwako ndo huwa inafanya nikuone mtu flan mbaya sanaπ
πNje ya mada ukiona Una mwanamke anapiga picha katoa ulimi kama Huyo kimbia
Kwahiyo unapingana na karma mkuu?πππKwanini apoteane? Hizo story za kusubiri kila aliyetenda ubaya apoteane ni za alfu lela ulela.
Sheβs living her best life.
Shangaa na wewe.Dua la mwewe. Kwenye maisha hakuna kitu kimenishinda kama kuwaza negative baada ya kupishana na mtu..
Absolutely.Kwahiyo unapingana na karma mkuu?πππ
Chaba ako na bibi, rafiki yangu we bado upo upo tu π π
Kwa mapene gani mabestie aliyonayo?Huyo demu hakumpenda ilifuata mapene
Kila mtu na tafsiri yake japo haijakaa Kwa heshima mbele za watuπ
Kutoa ulimi inaashiria nini?
Na ako na bibi mzuri πChaba ako na bibi, rafiki yangu we bado upo upo tu π π
Umaarufu wake na vijisenti vyake hakuna mwanamke atamfuata jamaa bila sababu just ilikuwa kama kajihifadhi hivi ila moyoni analake jambo amekutana na sisi washenyetaji wakamiaji wa show show akazama akamsahau mwamba πKwa mapene gani mabestie aliyonayo?
Huna ulijualoUmaarufu wake na vijisenti vyake hakuna mwanamke atamfuata jamaa bila sababu just ilikuwa kama kajihifadhi hivi ila moyoni analake jambo amekutana na sisi washenyetaji wakamiaji wa show show akazama akamsahau mwamba π