Haina poleePoleni sana
Kua mwanaume ni zaidi ya unavyofikiria nahisi wewe sio mmoja wa wale wanaofikiria kwa kutumia size ya makalio waliyonayoPoleni sana
Wanawake kwenye mahusiano wana mambo mno ya ajabu ukisema kila mwanaume asema yaliyomsibu dunia itakua ndogo, nna bro wangu mmoja yeye alichofanyiwa sema bro ana moyo sana sasa hivi anaishi na maumivu sababu ya ndoa ya mke mmoja na ukioa umeoa bro alikuja kugundua mkewe alipoenda chuo alipokuwa chuoni alikua na mahusiano na mwanaume mwingine wenzie wanaomjua wakawa wanamtonya bro anabisha ila kelele zilipokua nyingi ikabidi aanze kufanya utafiti mwenyewe wa hapa na pale alichofanyiwa alidukua simu ya mkewe kweli akayafuma madudu ya kutisha mno alichokifanya alichukua ushahidi wote akahifadhi kisha siku hio moja akajaribu kumhoji kuhusu km kweli anamsaliti mkewe akasema wala hamsaliti akamuuliza kweli akasema kweli, sasa unajua bro alichokifanya?Haina polee
Waambie watomb(e) na kupita hivi.
Ushawahi ona mwanaume Hit and Run anakumbana na haya???
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kwa kweli 😅😅😅😅😅Poleni sana
Haijalishi nipoje. Ila mnastahili pole, ni hilo tu sina la zaidiKua mwanaume ni zaidi ya unavyofikiria nahisi wewe sio mmoja wa wale wanaofikiria kwa kutumia size ya makalio waliyonayo
Sio wote wanaweza hit and run. Ndo hao wanastahili poleHaina polee
Waambie watomb(e) na kupita hivi.
Ushawahi ona mwanaume Hit and Run anakumbana na haya???
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Pengine huna uwezo wa kuzalisha kwaiyo kaamua kukutafutia mwanaume mwingine akuheshimisheSamahani kwa kusema hili ila ""Hata zamani kulikuwa na wazee wapumbavu, wakatoa misemo ya kipumbavu ili kuja kutumiwa na wapumbavu""
Yaani ugongwe huko halafu uje na "kitanda hakizai haramu..!!""
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Sawa msaliti #2 una kingine cha kuongeza?Haijalishi nipoje. Ila mnastahili pole, ni hilo tu sina la zaidi
ema upriru baba na utelezi wa kila siku...Kataa ndoa wana kitu watafika mbali
Usimwamini mwanamkeLakini we mlima parachichi kuna shida mahali,haiwezekani umesharidhika na maisha yako ya kutooa alafu kutwa uhangaike na wanaooa.
Kwa nini usijikite zaidi upande ulio uchagua ?hii sio kawaida
Mwanamke kwenye mahusiano sio wa kuaminiwa sana wewe pigasepa usiweke kambis
ema upriru baba na utelezi wa kila siku...
Haya makomenti ya hivi yapo tu nje na ndani ya ndoa..!! Watu wanahudumia watoto kwa michepuko lakini si watoto wao..!!!Twende "direct" kwenye mada.
Chekini haya mateso ya ndoa.
Maana nikiwaambia msioa mnashupaza shingo.
Hebu chekini hizi comments.
Acheni kuoa MTAKUFA.
#YNWA
YANGA_BINGWA
Ukishakula nawa shukuru chakula kilikua kitamu tembeaMhm...eti mwanamke wako peke yako 🤣🤣🤣🤣
Wanaume wengine wajinga sana🤣🤣🤣🤣🤣
Hakuna mwanamke aise chepuka hapa duniani
Anachomaanisha usimwamini mwanamke kwenye mahusiano awe mchepuko awe mkeo don't trust her utakufa kibudu mwenye sikio na asikieHaya makomenti ya hivi yapo tu nje na ndani ya ndoa..!! Watu wanahudumia watoto kwa michepuko lakini si watoto wao..!!!
Wanaume waliopigwa vitu vizito kichwani na wanawake waliowaamini sana katika mahusiano wakaweza kustahimili maumivu bila kufanya jambo lolote la ajabu au kituko chochote cha karne wana mioyo mizito kuliko wachezaji wa mpira hawana mioyo miepesi hata kidogo na wanajua kuyabeba mambo mazito na kwenda nayo inafika muda wanavunga baadhi ya mambo ili maisha yaende wanaishi na mambo mazito mioyoni mwao ambayo wanaishi nayo bila kumwambia mtu yoyote mpaka kaburinis
ema upriru baba na utelezi wa kila siku...
Sasa usizae?Ukishakula nawa shukuru chakula kilikua kitamu tembea
Anachomaanisha usimwamini mwanamke kwenye mahusiano awe mchepuko awe mkeo don't trust her utakufa kibudu mwenye sikio na asikie