Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Wanawake wanaojiuza kimboka, kwenye bar na clubs wanaosemwa na kuchukuliwa vibaya sana na jamii lakini mimi nafikiri hao wako wazi zaidi, sio wanafiki na wanafanya biashara rasmi.
Wanawake wanaoingia au kuwa kwenye mahusiano kwa sababu ya pesa tofauti yao ni kwamba wao wanakuwa wanafanya biashara Ile Ile lakini kwa kudhani ni kistaarabh zaidi na biashara isiyo rasmi.
Kama bila kiwango fulani cha pesa au mali haukubali kufanya mapenzi hiyo ni biashara tu unafanya. Kama kila mkimaliza kufanya mapenzi na mpenzi wako unapewa pesa hiyo ni biashara tu.