Wanawake ombaomba pesa kwenye mapenzi wana tofauti gani na wanaojiuza kibiashara?

Wanawake ombaomba pesa kwenye mapenzi wana tofauti gani na wanaojiuza kibiashara?

Ukishadate na mwanamke ambae hana hela au pesa zake hazimtoshi kuombwa pesa hakuepukiki.

Miaka ijayo wanawake watapunguza kuomba pesa sababu wanajituma sana hasa kwenye biashara.
Ingekuwa ni kweli kuhusu Hilo basi huko USA Hali ya wanawake kuomba pesa isingekuwepo

Wala Ashraf hakimi asinge fanya alichokifanya kumuandikisha mama yake kwenye mali zake zote zinazo muhusu
 
Ingekuwa ni kweli kuhusu Hilo basi huko USA Hali ya wanawake kuomba pesa isingekuwepo

Wala Ashraf hakimi asinge fanya alichokifanya kumuandikisha mama yake kwenye mali zake zote zinazo muhusu
Kumbe kuomba pesa ni duniani kote😂
Hiyo ni nature sasa mbona mnatoa milio
 
Kumbe kuomba pesa ni duniani kote😂
Hiyo ni nature sasa mbona mnatoa milio
Ni nature How ,

Nature ili zalisha pesa !? Huo ni utaratibu tu uliowekwa na watu kama ulivyo utaratibu mwingine popote pale duniani then watu Waka ua-dopt , Mambo yote duniani yametungwa na watu

Mfano zamani wanawake walikuwa hawafanyi kazi but now days wanafanya so ni trending tu zilizo anzishwa na binaadamu usiisingizie nature
 
Ukishadate na mwanamke ambae hana hela au pesa zake hazimtoshi kuombwa pesa hakuepukiki.

Miaka ijayo wanawake watapunguza kuomba pesa sababu wanajituma sana hasa kwenye biashara.
kujituma na kupata havitegemeani.
"if working hard is noble, show me the rich donkey."
 
Hii ni ngumu sababu hata wadada wengi walioajiriwa bado wanategemea kuomba pesa kwa wanaume, unakuta mnalipwa mshahara mmoja, wote hamna watoto, mko ofisi moja, ila mshahara ukitoka kizinga unapigwa wewe mwanaume.

Kulingana na uchumi wa wanaume wengi, wadada wanaojiuza barabarani ni cheaper, na more reliable kuliko wadada wanaopiga vizinga mtaani..humu kitaa umnunulie mtu smartphone apo hujala mzigo na huna uhakika kua utakula mzigo, au umlipie mtu kodi ya chumba, vi elf 20 vya hapa na pale na huna uhakika kama atakupa mzigo au la, for most men iyo ni risky affair

Ndo maana sikuhizi rate ya wanaume wanaoenda kununua wadada wanaojiuza barabarani imezidi sana..mtu anaendesha discovery anaenda nunua wanaojiuza barabarani 😱 ephen_ Seran
hio rate ni ya wanaume wasiojielewa. Wanawake wamejaa mtaani, hio 20 ya kununua malaya si umpe mwanamke mali safi tu unayempenda. Mnawezaje kulala na wanawake ambao mnajua kabisa bila kificho kwamba wanajiuza?
 
Wanawake wanaojiuza kimboka, kwenye bar na clubs wanaosemwa na kuchukuliwa vibaya sana na jamii lakini mimi nafikiri hao wako wazi zaidi, sio wanafiki na wanafanya biashara rasmi.

Wanawake wanaoingia au kuwa kwenye mahusiano kwa sababu ya pesa tofauti yao ni kwamba wao wanakuwa wanafanya biashara Ile Ile lakini kwa kudhani ni kistaarabh zaidi na biashara isiyo rasmi.

Kama bila kiwango fulani cha pesa au mali haukubali kufanya mapenzi hiyo ni biashara tu unafanya. Kama kila mkimaliza kufanya mapenzi na mpenzi wako unapewa pesa hiyo ni biashara tu.
Toa pesa tu, hamna cha bure zama hizo.
 
Ni mapokeo ya kijamii tu, hakuna sababu ya msingi ya kuwa omba omba.

Siku hizi wanawake wameingia kwenye uchumi wanafanya shughuli mbalimbali wanapata pesa.
 
Unauziwa bidhaa na kuilipia halafu mwenye bidhaa anaondoka na bidhaa yake!

Natania tu msinifokee naumwa sikio.
 
Back
Top Bottom