Wanawake ombaomba pesa kwenye mapenzi wana tofauti gani na wanaojiuza kibiashara?

Wanawake ombaomba pesa kwenye mapenzi wana tofauti gani na wanaojiuza kibiashara?

Biashara ni moja ila wengine ni local na wengine ni VIP.
 
Ila kwenye ule uzi wa Mtibeli wamesema kwamba wanawake na wanaume akili zetu zipo sawa...ila kwenye mahusiano wao wanawake wanataka tu kuwa wapokeaji siyo watoaji.
 
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom