Wanawake ombaomba pesa kwenye mapenzi wana tofauti gani na wanaojiuza kibiashara?

Hakuna tofauti wote ni malaya tofauti ni jinsi inavyouzwa wa Kimboka DIRECT yule demu wako unayemhudumia na mkeo nyumbani hao ni INDIRECT

Mwanamke yoyote ambaye sio bikira ni MALAYA
 
Wanawake wanaojiuza kimboka, kwenye bar na clubs wanaosemwa na kuchukuliwa vibaya sana na jamii lakini mimi nafikiri hao wako wazi zaidi, sio wanafiki na wanafanya biashara rasmi.

Wanawake wanaoingia au kuwa kwenye mahusiano kwa sababu ya pesa tofauti yao ni kwamba wao wanakuwa wanafanya biashara Ile Ile lakini kwa kudhani ni kistaarabh zaidi na biashara isiyo rasmi.

Kama bila kiwango fulani cha pesa au mali haukubali kufanya mapenzi hiyo ni biashara tu unafanya. Kama

Wanao nunua wasemwe vibaya kwa nini ununue Malaya???
Kaka Mbona Kama Unataka kuwa adui yangu sasa???🤔🤔🤔🤔
 
Ukishadate na mwanamke ambae hana hela au pesa zake hazimtoshi kuombwa pesa hakuepukiki.

Miaka ijayo wanawake watapunguza kuomba pesa sababu wanajituma sana hasa kwenye biashara.
 
Kabla ya kudate alikuwa anakidhi vipi mahitaji yake?

Mwanaume asiye na pesa au ambaye pesa zake hazimtoshi hatakiwi kudate? Au akidate yeye anakidhi vipi mahitaji yake?

Wanawake wanaomuacha mwanaume kwa sababu wakiimba pesa hawapewi wana tofauti gani na wanaojiuza?
 
Kila mtu na vipaumbele vyake.
Una vigezo unavyoangalia wakati wa kumtaka msichana.

Hivyohivyo kwa wanawake, muhimu ni wewe kuweka wazi kua hutaki kuombwa pesa hivyo mwanamke kabla ya kukubali kua na wewe aangalie kama pesa kwake sio kigezo.
 
Wanawake wanaojiuza kimboka, kwenye bar na clubs wanaosemwa na kuchukuliwa vibaya sana na jamii lakini mimi nafikiri hao wako wazi zaidi, sio wanafiki na wanafanya biashara rasmi.

Wanawake wanaoingia au kuwa kwenye mahusiano kwa sababu ya pesa tofauti yao ni kwamba wao wanakuwa wanafanya biashara Ile Ile lakini kwa kudhani ni kistaarabh zaidi na biashara isiyo rasmi.

Kama bila kiwango fulani cha pesa au mali haukubali kufanya mapenzi hiyo ni biashara tu unafanya. Kama kila mkimaliza kufanya mapenzi na mpenzi wako unapewa pesa hiyo ni biashara tu.
Hiyo inaitwa commitment fee. She’s obligated (at least morally) to be there when needed.

Kwa yule mwingine, huduma inapatikana kwa utaratibu wa first come, first served!😁
 
Miaka ijayo wanawake watapunguza kuomba pesa sababu wanajituma sana hasa kwenye biashara.
Hii ni ngumu sababu hata wadada wengi walioajiriwa bado wanategemea kuomba pesa kwa wanaume, unakuta mnalipwa mshahara mmoja, wote hamna watoto, mko ofisi moja, ila mshahara ukitoka kizinga unapigwa wewe mwanaume.

Kulingana na uchumi wa wanaume wengi, wadada wanaojiuza barabarani ni cheaper, na more reliable kuliko wadada wanaopiga vizinga mtaani..humu kitaa umnunulie mtu smartphone apo hujala mzigo na huna uhakika kua utakula mzigo, au umlipie mtu kodi ya chumba, vi elf 20 vya hapa na pale na huna uhakika kama atakupa mzigo au la, for most men iyo ni risky affair

Ndo maana sikuhizi rate ya wanaume wanaoenda kununua wadada wanaojiuza barabarani imezidi sana..mtu anaendesha discovery anaenda nunua wanaojiuza barabarani 😱 ephen_ Seran
 
Hali ni tete.
 
Ni sawa tu, huo ni mtazamo wako kwa upande wako!
 
Back
Top Bottom