Wanawake ombaomba pesa kwenye mapenzi wana tofauti gani na wanaojiuza kibiashara?

Ukishadate na mwanamke ambae hana hela au pesa zake hazimtoshi kuombwa pesa hakuepukiki.

Miaka ijayo wanawake watapunguza kuomba pesa sababu wanajituma sana hasa kwenye biashara.
Ingekuwa ni kweli kuhusu Hilo basi huko USA Hali ya wanawake kuomba pesa isingekuwepo

Wala Ashraf hakimi asinge fanya alichokifanya kumuandikisha mama yake kwenye mali zake zote zinazo muhusu
 
Ingekuwa ni kweli kuhusu Hilo basi huko USA Hali ya wanawake kuomba pesa isingekuwepo

Wala Ashraf hakimi asinge fanya alichokifanya kumuandikisha mama yake kwenye mali zake zote zinazo muhusu
Kumbe kuomba pesa ni duniani kote😂
Hiyo ni nature sasa mbona mnatoa milio
 
Kumbe kuomba pesa ni duniani kote😂
Hiyo ni nature sasa mbona mnatoa milio
Ni nature How ,

Nature ili zalisha pesa !? Huo ni utaratibu tu uliowekwa na watu kama ulivyo utaratibu mwingine popote pale duniani then watu Waka ua-dopt , Mambo yote duniani yametungwa na watu

Mfano zamani wanawake walikuwa hawafanyi kazi but now days wanafanya so ni trending tu zilizo anzishwa na binaadamu usiisingizie nature
 
Ukishadate na mwanamke ambae hana hela au pesa zake hazimtoshi kuombwa pesa hakuepukiki.

Miaka ijayo wanawake watapunguza kuomba pesa sababu wanajituma sana hasa kwenye biashara.
kujituma na kupata havitegemeani.
"if working hard is noble, show me the rich donkey."
 
hio rate ni ya wanaume wasiojielewa. Wanawake wamejaa mtaani, hio 20 ya kununua malaya si umpe mwanamke mali safi tu unayempenda. Mnawezaje kulala na wanawake ambao mnajua kabisa bila kificho kwamba wanajiuza?
 
Toa pesa tu, hamna cha bure zama hizo.
 
Safi tuu watuuzie baada ya hapo kila mtu kwake
 
Ni mapokeo ya kijamii tu, hakuna sababu ya msingi ya kuwa omba omba.

Siku hizi wanawake wameingia kwenye uchumi wanafanya shughuli mbalimbali wanapata pesa.
 
Unauziwa bidhaa na kuilipia halafu mwenye bidhaa anaondoka na bidhaa yake!

Natania tu msinifokee naumwa sikio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…