Mshangazi dot com hebu pitia hapa uje na majibu sahihi, haya ndio mambo uliohitaji wanawake wa jf muulizwe ili tupate majibu...karibuKwa uzoefu wangu Hawa mabinti kuanzia umri wa balehe Hadi miaka25 au zaidi kidogo Huwa huwaambi kitu wakakusikia.
Haijarishi wewe ni mzazi wake au kaka yake vyovyote vile hata kama wewe ni kiongozi wa Dini au Dr huwezi kumpa ushauri akakusikiliza na then akaelewa.
Unapomshauri muda huo atajifanya anakusikiliza mno Tena Kwa u pole wote lakini akiondoka hapo sana sana atakuona wewe ni adui yake.
Lakini Kwa yule anaye mshauri mambo ya ovyo basi atamuona wa maana kabisa na atampa muda wake wa kutosha hata kama sio ndg yake nk.
Baada ya umri huo kupita ukimshauri hata kuuza ubuyu atakusilikiza na ataanza kuuza ubuyu au kuchoma vitumbua
Wakati hizohizo kazi aliapa hata kuja azifanye maishani mwake.
Mbaya zaidi awe na mtoto tiyari na aliye mzalisha haeleweki yaani Hana mbele Wala nyuma.
Atafanya kazi yoyote Ile..........Hii Huwa inani sikitisha sana.
Jambo hili ni tofauti Kwa wanaume mwanaume mwenye miaka hiyo aliyelelewa vyema husimama kama mwanaume na wengi mitazamo Yao kama sio kusoma basi atajipanga aoe.
Ni wachache sana Ambae unaweza kaa nae ukamshauri habari za maisha asisikie.
Wengi humaliza masomo na kujikita kutafuta maisha Kwa kazi halali. Hii Kwa wanawake ni kinyume utashauri Hadi koo likauke unywe maji lakini amini kazi Yako ni Bure unapoteza muda.
Swali langu kwenu ninyi wanawake watu wazima mliopitia huo umri huwa Kuna changamoto Gani inayowafanya msisikie la mkuu?
Hapo ndipo wapotuharibu eti kukaza buti kwenye kitabu ni bora mama zetu na Baba, wangetufundisha namna ya kuwa machawa tuNakumbuka tukiwa wadogo mzee alitumia mbinu nyingi sana za kutuonya, kutushauri, kutufundisha, kutuelekeza katika makuzi yetu. Alikuwa hadi anatupeleka wanapojiuza dada poa anatuambia mnaona wenzenu? Mnavyowaona hivyo wengine wameathirika hapo ni muda haujafika wa kupandisha makenchi na kuteleza nywele ( by then ARV hazijashika hatam) yaan kama mtu ana ukimwi anajulikana tu. Sasa usipoyashika yale na kukaza buti kwenye kitabu utajua mwenyewe anakwambia na mama yenu sitaki ajihusishe na ujinga ulioufanya ukiukwaa tunakutengea chumba chako dah tena anacheka, hapo lazima akili ikukae hakutumia bakora kabisa ila mafundisho yake nayaishi
Sijaelewa binti wa kikeMnakuza vitu sasa husicho kielewa ni kipi?
Ulitaka uelewe vipi?Sijaelewa binti wa kike
Nielewe binti wa kiumeUlitaka uelewe vipi?
Najua unapo elekea ila sioni cha ajabu nilicho andika bali mawazo yako ya kipuuzi unayo ya endekeza. Maneno yote yana wakilisha jinsia ya kike........ ila ww mwenyewe umechagua kutokuelewa sawa.Nielewe binti wa kiume
Unajua mimi nakuenjoy tu unavyokuja kwa jazba, huko ulikofikiri naelekea ni wewe mwenyewe uliyekuwa ukielekea huko. Mimi nipo humu kuinjoy wala si kujiuguza presha kwa kuwakasirikia watu ambao siwajui.Najua unapo elekea ila sioni cha ajabu nilicho andika bali mawazo yako ya kipuuzi unayo ya endekeza. Maneno yote yana wakilisha jinsia ya kike........ ila ww mwenyewe umechagua kutokuelewa sawa.
Aisee navuta picha hapa umeikalia alafu hayo matiti ya aruka ruka hadi raha.....πΉπΉ mpk mbususu alifaidi..!!
Eeeh anatakakupelekewa moto tena ....basi vizuri kama unamwambia ukweliNimelea mabinti 7 na madume matatu. Na wote walitoka vizuri tu hakuna aliyezingua kivile. Mabinti saba wote hakuna aliyepata mimba kabla ya ndoa na watano wako kwenye ndoa zao huko wametulia. Mmoja yeye anajitafuta kwanza na keshasema yeye hana hamu kabisa na kuolewa. Ka mwisho ndo kako chuo kanapambana na medical school. Madume hayo sasa ndo yako vizuri balaa; and we are just true buddies!
Siri kubwa niliyoigundua ni upendo na URAFIKI. Wewe baba jenga urafiki sana na mabinti zako. Yaani mpaka inafikia mahali wanakuwa na uhuru wa kukwambia cho chote. Upendo na urafiki huu ndiyo utakujengea heshima kwao na inafika mahali wanaona aibu kufanya kitu ambacho wanadhani kitakukasirisha; na au kukuvunjia heshima haijalishi kama upo nao au wako mbali. Na kamwe usitumie ukali tu na maguvu!
Unajengaje urafiki na mabinti zako?
Anza kwa kumpenda sana mama yao na kumfanya kuwa rafiki yako mkubwa. Na uonyeshe kwa vitendo. Na wewe na mama yao ni lazima muwe timu moja katika hili. Wakiona jinsi unavyom-treat mama yao itakuwa rahisi sana kwao kujenga ukaribu nawe mpaka mnakuwa washikaji wakubwa. Hiyo inakupa wewe nafasi nzuri ya kuanza kucheza na saikolojia yao changa na kuwa-mold unavyotaka wawe. Ukiweza na kuwaingiza kwenye mambo ya Mungu wakamjua Mungu vizuri basi unakuwa umemaliza kila kitu.
Hiki kibinti cha mwisho kitinda mimba kimeanza kudeti kinakuja kuniambia eti huyu kijana Anthony nimeanza kumkubali sana dad maana ni gentleman mno...ha ha ha nikacheka weeee! Nakiambia, 99.99% lengo kuu la Anthony ni kukupelekea moto tu hakuna kingine hivyo kuwa macho na hilo. Na hiyo inakuwa ni nafasi nyingine ya ku-cement ambacho tayari tulishaongea kuhusu hiyo ishu ya kupelekewa moto kabla ya ndoa; na athari zake.
Usilazimishe watoto wako wakuheshimu. Wapendee sana mama yao. Jenga urafiki nao. Wasogeze kwa Mungu...kazi kwisha! πΆπΏββοΈπΆπΏββοΈπΆπΏββοΈ
Kupelekewa moto kwa mtoto wa kike ni kawaida mkuu wala siyo jambo la kushangaza. Ni lazima kuongea na hawa mabinti kwa uwazi kabisa ili wajue na madhara yake πEeeh anatakakupelekewa moto tena ....basi vizuri kama unamwambia ukweli
Sawa nitakujibu kama mwanasayansi na mwanamke;Mshangazi dot com hebu pitia hapa uje na majibu sahihi, haya ndio mambo uliohitaji wanawake wa jf muulizwe ili tupate majibu...karibu
Unajenjoy mwenyewe. Mbona wenzako wameelewa.Unajua mimi nakuenjoy tu unavyokuja kwa jazba, huko ulikofikiri naelekea ni wewe mwenyewe uliyekuwa ukielekea huko. Mimi nipo humu kuinjoy wala si kujiuguza presha kwa kuwakasirikia watu ambao siwajui.
Lakini pamoja na kuwa umeamua kukaza usionekane umekosea, kusema binti wa kike bado ni β, haijalishi utapandisha vipi mori leo
Yes, yote ni heri. Kuna sehemu nimesema hawajaelewa?Unajenjoy mwenyewe. Mbona wenzako wameelewa.
Kuna mtu umemuona anauliza maswali ya kipuuzi kama ww.Yes, yote ni heri. Kuna sehemu nimesema hawajaelewa?
Uzuri haya maisha hayacheki na yoyote.Wana shida kubwa sana Kuna mtoto wa ba mkubwa hapa mzee kashafariki. Baada ya kumkanya aache upumbavu wake hakusikia Mimi kaka yake niliyekuwa natoka matumizi ya shule nk nikaamua ni mrambe viboko vya maana hapo yupo form two tu na baada ya kumchapa si akaacha shule Kisha akatoroka nyumbani kaenda huko kazalishwa mbaya zaidi ana HIV Kwa umri wa miaka17 tu Kwa Sasa. Mama Hana uwezo wowote .
Nimeshindwa hata la kumwambia Kwa Sasa.
Ni kweli ila muhimu tusichoke kuwaelekeza japo ni ngumu Kuna stage kuambiwa ni kama unaona watu wanakupigia keleleHatma ya mtoto wa kiume na wakike huwaga tofauti kabisa kwa binti wa kike hatma yao inakuwaga mbaya sana.
πππYani izo stage kilamtu anapitia utofaut ni viwango tuNa wakishavuka hiyo stage wanaanza kusema Wanaume hawako serious, mara wao wametulia
Umemaliza kilakitu mpwaNimelea mabinti 7 na madume matatu. Na wote walitoka vizuri tu hakuna aliyezingua kivile. Mabinti saba wote hakuna aliyepata mimba kabla ya ndoa na watano wako kwenye ndoa zao huko wametulia. Mmoja yeye anajitafuta kwanza na keshasema yeye hana hamu kabisa na kuolewa. Ka mwisho ndo kako chuo kanapambana na medical school. Madume hayo sasa ndo yako vizuri balaa; and we are just true buddies!