Wanawake pindi mnapokuwa na miaka 17-25 kwanini huwa hamshauriki mkasikia?

Msituharibie jmn sisi makapuku

Hao wa 17 wanataka chips tu na smartphone ya afu 70 πŸ˜…πŸ˜… utatmba akianza kuwa mjanja unamuacha
 
Hiyo age huwashauliki na wakibugi kidogo wanazalishwa na kuachwa. Unaweza ukampa mifano yote theory na practical ila still anakuja kutoa boko, sababu ya tamaa au kuendekeza nyege,halafu mzigo unarudi kwa familia.
Dawa wazalishwee tu
 
Dawa yao ni kuwa single maza mapema tu
 
Sasa 🀣baba mkwe nizangitie basi Huyu binti wa medical akimaliza shule , nipo mwanza tunaweza kujenga udugu
Hakuna shida. Yuko Medical School John Hopkins University ila mwezi wa tisa anakuja Bongo na wenzake 14 katika Study Abroad Program; na watakuwa hapo Taasisi ya Moyo ya JK. Hajui Kiswahili wala Kisukuma so wahi kwa Ras Simba kama kimalkia hakipandi. Na kwa mabinti zangu wala huwa sitozi mahari! πŸ˜‚
 
Umemaliza kilakitu mpwa
Wasisahau kuwaspoil mabint zao kadri wawezavyo
Inasaidia sana mpwa!

Kama wewe hapo yaani. Umenyooka kama rula. Sema sasa shida ya watu kama nyie kupata kijana aliyenyooka pia huwa ni mtihani sana sijui kwa nini. Ila huwa nakuombea mpwa πŸ™πŸΏ
 
Sio ujanja huo ukitaka kujua hili basi uwe na ndugu yako yoyote kwenye familia au ukoo wenu awe single mother halafu anakutegemea ww ndipo utaelewa. Mimi kuna binti wa Ma Mdogo tulikuwa tunakaa nae home, sasa hivi mzigo tunao sisi.
Mkuu mm kuna mtu nimekataa kuhudumja yaan kajamaa kamempachika mimba mdgo wangu kwa mama mwingine alafu kanataka mm nihudumie weee nimekataa kata kata
 
Mkuu mm kuna mtu nimekataa kuhudumja yaan kajamaa kamempachika mimba mdgo wangu kwa mama mwingine alafu kanataka mm nihudumie weee nimekataa kata kata
Hiyo hesabu kama ni sadaka tu mkuu kama una kauwezo unasaidia hasa hako kamalaika. Unakapelekea vinguo na vitu vingine kanavyohitaji (usipeleke pesa!). Hutafilisika na utajipatia mibaraka mingi sana - kwako wewe na vizazi vyako vijavyo!

Kamalaika hako hakana kosa! πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
 
Kwani na 30s yetu tunashaurika?
Yaan mambo ni mpelampela...
Upo singlemom bado masikio juujuu
Umeachwa....ndiyo eee mweeπŸ₯΄
Bill gates maskini....hivi mkewe anaumri gani vile...
Obama mwee,nasikia ndani hakukaliki,kumeiva☹️...mi nadhani tuliumbwa ili tuwaueπŸ€’
 
Asante mpwa.

Waifu matirio pyua.

Hebu Allah na Akakupatie wa kufanana nawe πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
 
Qubabake aviator ni mchezo wa *******.

Usipoweka hela kindege kinatembea kweli.

Ila ukiweka hela mara ishirini inaishia kwenye 1.44 πŸ–•
 
Nimecheka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kazi zetu hapa duniani tunazoweza ni kumtuliza mwanaume na kumvuruga akiwa ametulia Yan mambo ni mix by yas
 
Nimecheka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kazi zetu hapa duniani tunazoweza ni kumtuliza mwanaume na kumvuruga akiwa ametulia Yan mambo ni mix by yas
🀣🀣🀣Bado hawajasema....mpaka waseme...
SadπŸ˜”
 
Qubabake aviator ni mchezo wa *******.

Usipoweka hela kindege kinatembea kweli.

Ila ukiweka hela mara ishirini inaishia kwenye 1.44 πŸ–•
🀣🀣🀣Kuna nini mkuu
 
Naona Kuna msukuma mwenzio anaelekea qibla ngoja tuone πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama anajitambua na amemalizana na hekaheka za huko mabarabarani atafaidi sana wallahi. Nawaombea mpwa!

➑️➑️➑️ Akianza kukuzingua nipe namba zake nimpe nondo za wazee wa Kisukuma mpaka aombe poo πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…