Kwako lazima nimletee mpwa najua nondo za kutoshaKama anajitambua na amemalizana na hekaheka za huko mabarabarani atafaidi sana wallahi. Nawaombea mpwa!
➡️➡️➡️ Akianza kukuzingua nipe nimpe nondo za wazee wa Kisukuma mpaka aombe poo 😂
🤣🤣🤣Ila sisi wanawake bhana mda mwingine najiulizaga mwenyew nn hiki Sasa 😀 Mungu atusaidie🤣🤣🤣Bado hawajasema....mpaka waseme...
Sad😔
Itakuwa ulikuwa na beef na huyo jamaa akaona amtie mimba ndugu yako halafu wewe uhudumie😁Mkuu mm kuna mtu nimekataa kuhudumja yaan kajamaa kamempachika mimba mdgo wangu kwa mama mwingine alafu kanataka mm nihudumie weee nimekataa kata kata
Hata hatujuani na simjui mpaka kesho yeye muha mm mtu wa kanda ingine kabisaItakuwa ulikuwa na beef na huyo jamaa akaona amtie mimba ndugu yako halafu wewe uhudumie😁
Kaka ndo umekuja kunisema🤣Hata hatujuani na simjui mpaka kesho yeye muha mm mtu wa kanda ingine kabisa
Hahaa nisamehe my dada. Ila umezinguaKaka ndo umekuja kunisema🤣
Pole sana mpwa. Kwahiyo kirahisi kabisa anakwambia uhudumie?? Jamaa atakuwa na shida kidogo huko juu (upstairs)Hata hatujuani na simjui mpaka kesho yeye muha mm mtu wa kanda ingine kabisa
Ukimpata unampenda kweli,mwanamke ni kiumbe tulivu sana cute🤣🤣🤣Ila sisi wanawake bhana mda mwingine najiulizaga mwenyew nn hiki Sasa 😀 Mungu atusaidie
Wanaochezesha aviator wanacheza na akili za watu.🤣🤣🤣Kuna nini mkuu
🤣🤣🤣 Tatizo ulimwacha Mungu,umemkana Mara tatu hata jogoo alipowika bado hukutubuWanaochezesha aviator wanacheza na akili za watu.
Uki-stake hela kindenge kinaanguka chap.
Ila usipoweka kidude kinahesabu mpaka 300.
Mchezo WA kuibia watu sijapata kuona😁😁😁👽
Sasa mkewe anaenda labor hata hashughuliki na pesa anapata mzee babaPole sana mpwa. Kwahiyo kirahisi kabisa anakwambia uhudumie?? Jamaa atakuwa na shida kidogo huko juu (upstairs)
Nimecheka kinoma mzee🤣Dah hii haina comebackHakuna shida. Yuko Medical School John Hopkins University ila mwezi wa tisa anakuja Bongo na wenzake 14 katika Study Abroad Program; na watakuwa hapo Taasisi ya Moyo ya JK. Hajui Kiswahili wala Kisukuma so wahi kwa Ras Simba kama kimalkia hakipandi. Na kwa mabinti zangu wala huwa sitozi mahari! 😂
Kuwa mwangalifu sana. Ukizama huko kuondoka ni shida. Kimbia kungali mapema!Wanaochezesha aviator wanacheza na akili za watu.
Uki-stake hela kindenge kinaanguka chap.
Ila usipoweka kidude kinahesabu mpaka 300.
Mchezo WA kuibia watu sijapata kuona😁😁😁👽
Issue Huwa ni mizigo Kwa familia mkuuNikishatoa kauli/ushauri ukikaidi kikakuramba, usitegemee huruma.
Wajibika kwa matendo yako.i
Kuchoka hatuwezi maana wanatuhusu Moja Kwa MojaAisee, tusichoke kuwashauri
Mkuu hongera sana Kwa Hilo. Lakini mwanangu Hadi afikie hatua ya kuniambia katongozwa na Fulani nankamuelewa kwangu ni hapana.Nimelea mabinti 7 na madume matatu. Na wote walitoka vizuri tu hakuna aliyezingua kivile. Mabinti saba wote hakuna aliyepata mimba kabla ya ndoa na watano wako kwenye ndoa zao huko wametulia. Mmoja yeye anajitafuta kwanza na keshasema yeye hana hamu kabisa na kuolewa. Ka mwisho ndo kako chuo kanapambana na medical school. Madume hayo sasa ndo yako vizuri balaa; and we are just true buddies!
Siri kubwa niliyoigundua ni upendo na URAFIKI. Wewe baba jenga urafiki sana na mabinti zako. Yaani mpaka inafikia mahali wanakuwa na uhuru wa kukwambia cho chote. Upendo na urafiki huu ndiyo utakujengea heshima kwao na inafika mahali wanaona aibu kufanya kitu ambacho wanadhani kitakukasirisha; na au kukuvunjia heshima haijalishi kama upo nao au wako mbali. Na kamwe usitumie ukali tu na maguvu!
Unajengaje urafiki na mabinti zako?
Anza kwa kumpenda sana mama yao na kumfanya kuwa rafiki yako mkubwa. Na uonyeshe kwa vitendo. Na wewe na mama yao ni lazima muwe timu moja katika hili. Wakiona jinsi unavyom-treat mama yao itakuwa rahisi sana kwao kujenga ukaribu nawe mpaka mnakuwa washikaji wakubwa. Hiyo inakupa wewe nafasi nzuri ya kuanza kucheza na saikolojia yao changa na kuwa-mold unavyotaka wawe. Ukiweza na kuwaingiza kwenye mambo ya Mungu wakamjua Mungu vizuri basi unakuwa umemaliza kila kitu.
Hiki kibinti cha mwisho kitinda mimba kimeanza kudeti kinakuja kuniambia eti huyu kijana Anthony nimeanza kumkubali sana dad maana ni gentleman mno...ha ha ha nikacheka weeee! Nakiambia, 99.99% lengo kuu la Anthony ni kukupelekea moto tu hakuna kingine hivyo kuwa macho na hilo. Na hiyo inakuwa ni nafasi nyingine ya ku-cement ambacho tayari tulishaongea kuhusu hiyo ishu ya kupelekewa moto kabla ya ndoa; na athari zake.
Usilazimishe watoto wako wakuheshimu. Wapendee sana mama yao. Jenga urafiki nao. Wasogeze kwa Mungu...kazi kwisha! 🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️