Wanawake punguzeni kuomba omba hela

Jitahidi uwe na nyota ya kuleaaa....
Sibebi wajinga wajingaa

At your age of 50s, juzi ulikuwa kwenu Moshi msibani, kazi yako ilikuwa kununuliwa tu pombe, hela hadi mwanamke wako aamue yeye kukupa. Na kwa ulevi wako kila wakati uko njwii, baba zima unaweka double kick kwenye chupa ya K Vant.

Mbezi Beach yote ni wewe unayetutia aibu. Jirekebishe
 
Noblewoman hatutaki hela zenu, hizo zikawasaidie mama zenu wazazi na ndugu zenu. Maana wanaume wengi mnashindwa kusaidia wazazi wenu sababu ya kujionyesha ufahari kwa wanawake. Hela hamna kazi kujitutumua tu huku mnaumia
Hizo Hela wanazowahonga wanaume ndiyo zinawawezesha kuwasaidia wazazi, ndiyo maana tumewaachia Hilo jukumu 😂😂😂, kwangu Hilo jukumu ni la dada kwa pesa anazohongwa huko so equation balanced
 
Waache kutongoza vitoto, jobless itawasaidia....videnti vinaomba sana hela nikubadiri mfumo,eiza watafute mashangazi au wakanunue madabwada
 
Kama buku 10 ni ndogo kwanini sasa wazazi wako wasikupe?
 
Ni kweli mkuu kila mtu akae na chake.
 
Chakula pandwa nani atupe.

Tutatongoza watakoa tupa bila kuomba hela tunaendanao.

Wale tuma na kutoleaa sijui umeme umeisha sijui gasi imeisha sijui sina vocha.

Wala tunawablook
 
Hakuna kitu kinanishangaza mimi kama mwanamme kumnunulia mwanamke simu ya gharama ikiwa hana umuhimu wowote kwake zaidi ya kumgonga tu. Utakuta mwanamke kama Kajaka, hana ishu yoyote hapa mjini zaidi ya kujiuza mitandaoni eti unajitoa muhanga na kumunulia simu au gari for what?
 
Uende kununua wa buku 3 uwe fundi wa kuonga hizo 10k, 50k au 100k wote tunanunua malaya.

Hao wa kitaa wamejificha kwenye kivuli cha KUHUDUMIWA ila nao ni malaya tu indirectly

Hata huyo wa buku 3 huko mtaani kwake wapo wanaomuonga hizo 10k, 30k, 50k

Maisha ni mvuragano wewe fanya kilicho ndani ya uwezo wako ili mradi usuuze rungu
 
Kuna intervening variables nyingi sana zinazosababisha wanaume kutongoza ukiachana na suala la kutoa hela
 
🤣 Nakazia 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Binti akitoa penzi apewe penzi nasio atoe penzi apewe penzi na Pesa.
Boss, Hii sio rahisi. Penzi lina matokeo mengi, na maandalizi yake yana gharama. Siku hizi wanachofanya anayehitaji ndiye anagharamia. Kuna wanaume wanalelewa kabisa.
 
Nitagharamia demu ambaye najua naweza songa nae kwa muda mrefu! Sasa wewe one night stand kweli nihonge hadi kiwanja,gari, sijui kwenda vacay dubai?? Hapana! Hizi nitafanya kwa wife wangu tu! Maana kwake nakula mbususu hata kama sina mia mfukoni
 
Madem hawana aibu kama wamba tu .mtu anaweza kuomba hela asubuhi ukampa na jion akaomba tena .wamejaa shida binafsi saiv siwezi kua na dem alie jaa shida tu kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…