Wanawake punguzeni kuomba omba hela

Wanawake punguzeni kuomba omba hela

Jaman kila leo tunasema humu wee unaona wanawake wanakuzonga wanataka hela si uachane nao shida ipo wapi? Mbona wengi mnapenda kujiletea mastress kumbe unaweza ukaamua kukaa mwenyewe na maisha yakasonga bila kugombezana na watu, jipeni amani kataeni omba omba wakatafute wanaowezana nao nyie pambaneni na hali zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dhiki dhiki zimewajaa wanawake wa sasa.

Njaa njaa zitawamaliza
 
View attachment 2504331
At your age of 50s, juzi ulikuwa kwenu Moshi msibani, kazi yako ilikuwa kununuliwa tu pombe, hela hadi mwanamke wako aamue yeye kukupa. Na kwa ulevi wako kila wakati uko njwii, baba zima unaweka double kick kwenye chupa ya K Vant.

Mbezi Beach yote ni wewe unayetutia aibu. Jirekebishe
Eehe kumekuchaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Waache kutongoza vitoto, jobless itawasaidia....videnti vinaomba sana hela nikubadiri mfumo,eiza watafute mashangazi au wakanunue madabwada
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
IMG_4234.jpg
 
Back
Top Bottom