Wanawake punguzeni kuomba omba hela

Hapa ndo utajua wengi ni wavulana tu 😁😁 hawaji ng'oo

Mtu unapendaje utelezi bila kugharamia? Kazi tu "ooh demi nimekuhamu" mwaga minoti unihamu vizuri 😁😁
Wanajua wenyewe maana wanaume wanaotoa hela wapo na wataendea kuwepo. Kila mtu ale alipopeleka mboga
 
Muazime pamba mkali
 
Huu mtanange ni mkali,nani kala K.O?

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Hawawezi kukuelewa πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna demu moja jana nimelikumbuka nikaona nilipigie kulisalimia, baada ya kukata simu tu, inaingia text nywele zake ni chafu anaomba hela akasafishe.
 
Umeeleweka ila iweje uniweke kundi la kimalaya malaya
 
Waache kutongoza vitoto, jobless itawasaidia....videnti vinaomba sana hela nikubadiri mfumo,eiza watafute mashangazi au wakanunue madabwada
Hata wenye kazi nao wanaomba sikuizi
 
Umeeleweka ila iweje uniweke kundi la kimalaya malaya
Ooh, Hapana mkuu sijakuweka kwenye kundi la malaya,

Nimemaanisha baadhi ya wanawake wamekuwa na tabia za kimalaya Malaya.
 
WANAWAKE WA KICHAGA RAHASANAAAAAAA HAWANA MBOMBOOO WEE.MPEE HAKIYAKE TU KITANDANI MNGINE MWACHIE YEEYE SWABAHANA WAPE HERI WATOTO WA KICHAGA WALEE VYEMA WAUME ZAOO
 
KUNAMAKABILA HATAWAWE NA MIL 80 WATAOMBA TU YAAN HAWA MADADA WANA NYOTAA YA UOMBAJIIII BALAAA SO MUHIMU MKAJUA MAKABILA YAPI HAYANA USUMBUFU .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…