Mkipata wasioomba hela mnawavuruga
Acha waendelee kuwakamua

Na tujiandae kuhesabiwa jamani

Na ndo maana tunawafanya michepuko ukiomba hela nisipokupa sipungukiwi na chochote ila wewe sasa utaanza kutanga tanga hadi kwa x zako kuomba 20K
 

Hayo matumizi kila wiki ama mwezi ni kwa mke unaeishi nae. Ama kwa mpenzi anaeishi kwao ama kwake?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Haka kaneno kanachekesha kweli, [emoji119] Eti nikuambie kitu?[emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sass hivi nikikaona tu hako kaneno nazima simu nikiwasha najua atatuma sms yangu ujaona namwambia sijaona nabadilisha story
 

kuna utofauti wa kuomba ndugu
1. kuna kuomba kwa kumfata mtu face to face au ubapigiwa simu ya maongezi( hii ndo serious mtu ana shida kweli)

2. kuna nikwmabie kitu ( hii wanatumia waunii tu wasiokuwa na mbele wala nyuma.. hii ni utapeli)
 
Umaskin na malezi mabaya tu Kuna watu wao wanaona kupewa na kuhongwa hela ni haki yao ya msingi na wao wanaona ni sawa kuwaambia wanaume watafute hela wakati hata wao hizo ela hawana, kila mtu ashinde mechi zake aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…