CC
johnthebaptist
 
Ha ha ha ndio udhaufu wetu huo, haya ila punguzeni kutianzishia nyuzi Mfanye Hela kama sehemu ya WOMAN BASIC NEED
Mdada anafanya kazi tena yenye mshahara lakini anakwambia hana hela lakini hapo hapo kuna mwanaume wanafanya naye kazi ileile lakini yeye familia yake inapata mahitaji yote ya msingi na bado ana honga kwa kazi ileile na anasomesha
 
yaani
 
Nachoshukuru tangu nianze mahusiano, sijawahi Date na mwanamke anae omba omba hela, mpaka mda mwingine huwa najishtukia na kuanza kuwapa hela kidogo kidogo, ila pia Wanaume tuangalie wanawake wa kuwatongoza pia..!!
 
hongera sana Mkuu Mimi pia nilikuwa sijawai kupata mwanamke omba omba ila sasa hivi wapo wengi hatari
 
Waswahili kwa unafki hamjambo, sio nyie mnaokataa haki sawa, sio nyie mnaosema mwanamke asifanye kazi akae ndani analea watoto, sasa hivi mnakasirika kuombwa hela, tukisema Wanawake watolewe majumbani wakajitafutie mnatuita ma feminist,
Nyie wanaume wa kitanzania mnamkandamiza mwanamke ili muwe mnamsimanga kama hivi.

Aibu iwe juu yenu.
 
hivi ni sisis tunataka haki sawa au nyir ndo mmechoka kukaa nyumban mnataka haki sawa ya kufanya kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…