Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCWakuu Habari zenu!
Kiukweli wanawake wamekuwa omba omba Sana yaani ukienda WhatsApp Wanawake wanaomba hatari.. ukikaa Kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela.
Jamani nyie Wanawake mmekuwa kero kuliko hata wale wa barabarani Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo ombaomba kuliko wewe jituzima tena umeolewa, unafanya kazi, pesa ya bando la WhatsApp unayo halafu unaomba omba.
Hakuna mwanaume anayependa kutoa Hela.. maana wote mlipewa Viuongo sawa, mikono, miguu, Akili n.k ili mfanye kazi sasa.. wanawake Akili zao kuomba omba tu.
UTAFITI
Asilimia kubwa wanaojiuza ni wanawake na ukiwauliza watakuambia wanashida na Fedha.
Sasa swali MBONA wanaume hawajiuzi kama Nyie wanawake kutanda barabarani.. means wanaume wa Akili Sana ya kutafuta Pesa au ni vipi??
UKWELI MCHUNGU.. WANAWAKE ACHENI KUOMBA OMBA MMEKUWA KERO
Mdada anafanya kazi tena yenye mshahara lakini anakwambia hana hela lakini hapo hapo kuna mwanaume wanafanya naye kazi ileile lakini yeye familia yake inapata mahitaji yote ya msingi na bado ana honga kwa kazi ileile na anasomeshaHa ha ha ndio udhaufu wetu huo, haya ila punguzeni kutianzishia nyuzi Mfanye Hela kama sehemu ya WOMAN BASIC NEED
Mdada anafanya kazi tena yenye mshahara lakini anakwambia hana hela lakini hapo hapo kuna mwanaume wanafanya naye kazi ileile lakini yeye familia yake inapata mahitaji yote ya msingi na bado ana honga kwa kazi ileile na anasomesha
Ni wapuuzi snyaani
Nachoshukuru tangu nianze mahusiano, sijawahi Date na mwanamke anae omba omba hela, mpaka mda mwingine huwa najishtukia na kuanza kuwapa hela kidogo kidogo, ila pia Wanaume tuangalie wanawake wa kuwatongoza pia..!!
Nilikuwa nipo na shida ya sh,50000 kama unayo pleas,network inasumbua sms imekuja nusu nitakucheck baadaye
Kweli kabisa ukiwaomba pesa wanasema tu ok.wanepesa wengi hawajui kuchat Vizuri mnafo Mo
hongera sana Mkuu Mimi pia nilikuwa sijawai kupata mwanamke omba omba ila sasa hivi wapo wengi hatari
Nilishatongoza kitambo huyu mbonaeeh mnatongoza[emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sass hivi nikikaona tu hako kaneno nazima simu nikiwasha najua atatuma sms yangu ujaona namwambia sijaona nabadilisha story
Sasa wanaombaga nini kama pesa hamna?Hela zenyewe hamna na bado mnatusimanga
Kwanini umeandika kwa makasiriko makubwa hivi?Jifunzenu kujitomba wenyewe ili kuepuka kuombwa hela
Makasiriko hujibiwa kwa makasirikoKwanini umeandika kwa makasiriko makubwa hivi?
Waswahili kwa unafki hamjambo, sio nyie mnaokataa haki sawa, sio nyie mnaosema mwanamke asifanye kazi akae ndani analea watoto, sasa hivi mnakasirika kuombwa hela, tukisema Wanawake watolewe majumbani wakajitafutie mnatuita ma feminist,
Nyie wanaume wa kitanzania mnamkandamiza mwanamke ili muwe mnamsimanga kama hivi.
Aibu iwe juu yenu.