Sasa kwani umiombwa sii mbususu unapewa sasa shida iko wapi tena hapo mwanawane
Kama anauza mbususu ataje bei twende geto tukamalizane siku akiishiwa na luku, gesi n.k hayo hayanihusu kwa sababu niliyomchakata nilishampa malipo yake ila mizinga kila siku hapana hata kama hela ninayo siwezi kufanya huo ujinga
 
Ukiona mtu hayuko proud na jinsia yake lazima ni mwanaume .pili lazima ni gay
Kuwa proud na jinsia yako maana yake nini je ni kutetea jinsia yako hata kwenye vitu vya kipumbavu, huyo mtoa mada yeye mwenyewe alisema anadate na mijimama ili impe pesa, huku anawasema wanawake wanaodanga sasa yeye na hao wanawake wanaodanga wana utofauti gani
 
Mnajuana kumbe ngoja tuwaache hadi muuane
 
Unajifanya una akili sana kiuhalisia wewe ni kilaza
 
Ndio mama angu[emoji4]
 

Mguu wapi na wapi?[emoji23][emoji23]
 
Asikubabaishe eti usipompa hela atakunyima utamu, wao hawana utamu, utamu tunao sisi wapo wanawake wengi wasioomba omba hela, tafuta pole pole achana na kausha damu hela siyo haki yao lazima wawajibike.

Kwenye maombi yako usisahau kumuomba Mungu akuepushe na Wanawake kausha Damu. Mizinga Daily kama mko vitani.
 
Kwenye maombi yako usisahau kumuomba Mungu akuepushe na Wanawake kausha Damu. Mizinga Daily kama mko vitani
Unamuhusisha Mungu kwenye mambo ambazo hazimuhusu.

Mwanamke sio provider 💯
Hawa aliprovide lunch tu, angalia kilichowakuta Eden. Hamjifunzi kuwa cha mwanamke hakiliwi? Na kama hakiliwi basi tuacheni tuendelee kuwaomba.
 
Unamuhusisha Mungu kwenye mambo ambazo hazimuhusu.

Mwanamke sio provider 💯
Hawa aliprovide lunch tu, angalia kilichowakuta Eden. Hamjifunzi kuwa cha mwanamke hakiliwi? Na kama hakiliwi basi tuacheni tuendelee kuwaomba.
Mawazo ya miaka 1940 una leta sasa 2024.

Cha mwanamke akiliwi, papuchi yako mbona ina liwa kila uchwao ?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…