makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Akikuomba kesho kakustili Leo jioni Sina vocha au na njaaUkimtongoza binti au mdada leo, kesho yake wewe umekua sponsor, utaambiwa gesi na umeme vimeisha, anataka hela ya saloon, mafuta ya gari na service kama hilo gari analo,na wakati mwingine ata vitu vidogo vidogo kama vouchers, yaani invoices ni nyingi mpaka unashangaa alikua anaishije kabla haujakutana nae.
Wee,usiambie!?🤸Mwanamke asiponiomba pesa nahisi hanipendi...
Poleni sana...
Huna hoja tuliza ki...Mwanamke ukiona anakuomba sana hela jua hajakupenda ila antaka apate tag kutoka kwako...
mwanamke anaekupenda kwa dhati hawezi kukuomba hela Kila mara kwa sababu zifuatazo.
1. Kutokana na upendo wake wa dhati kwako anaona aibu kukuomba hela hata kama anashida kiasi gani atatafuta namna nyingine ya kutatua shida yake.
2 .kutokana na upendo wake Wa dhati ataogopa kukuomba hela kwa kuhofia kukupoteza maana anajua inaweza kupelekea mwanaume kumuacha.
😋Chochote unachotakana kusema ndiyo nimekubali...
Huyu wangu haniombi ela na simtafuti akinitafuta na mletea kiburi ela na mpa navyojisikiaMwanamke ukiona anakuomba sana hela jua hajakupenda ila antaka apate tag kutoka kwako...
mwanamke anaekupenda kwa dhati hawezi kukuomba hela Kila mara kwa sababu zifuatazo.
1. Kutokana na upendo wake wa dhati kwako anaona aibu kukuomba hela hata kama anashida kiasi gani atatafuta namna nyingine ya kutatua shida yake.
2 .kutokana na upendo wake Wa dhati ataogopa kukuomba hela kwa kuhofia kukupoteza maana anajua inaweza kupelekea mwanaume kumuacha.
Jifunzenu kujitomba wenyewe ili kuepuka kuombwa helaJifunzeni kutafuta hela zenu wenyewe bila kutupiga mizinga ilu muepukane na masimango.
Nawe acha kutongoza hovyoWakuu Habari zenu!!
Kiukweli wanawake wamekuwa omba omba Sana yaani ukienda WhatsApp Wanawake wanaomba hatari.. ukikaa Kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela.
Jamani nyie Wanawake mmekuwa kero kuliko hata wale wa barabarani Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo ombaomba kuliko wewe jituzima tena umeolewa, unafanya kazi, pesa ya bando la WhatsApp unayo halafu unaomba omba.
Hakuna mwanaume anayependa kutoa Hela.. maana wote mlipewa Viuongo sawa, mikono, miguu, Akili n.k ili mfanye kazi sasa.. wanawake Akili zao kuomba omba tu.
UTAFITI
Asilimia kubwa wanaojiuza ni wanawake na ukiwauliza watakuambia wanashida na Fedha.
Sasa swali MBONA wanaume hawajiuzi kama Nyie wanawake kutanda barabarani.. means wanaume wa Akili Sana ya kutafuta Pesa au ni vipi??
UKWELI MCHUNGU.. WANAWAKE ACHENI KUOMBA OMBA MMEKUWA KERO
Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Mbona niny Leo mmetusema kuwa wachafuUkigeuka huku wanawake Kule wanawake hapa wanawake pale wanawake [emoji3061]
Tupumzisheni basi
hakuna omba omba anayeheshimikaKweli women run the world, maana mnalalamika mnoo hata visivyo vya kulalamika.
Unataka nini??
Kweli tena, kama huniombi mimi basi Kuna unaemuomba...Wee,usiambie!?🤸
Vunjabei kafanyaje kwaniUnamaana wanaume tuige akili za vunjabei
Itakuwa mna mahusiano mabaya yasiyo na heshima. Ukute unàmtania hovyo hovyo na kuflirt nae unategemea nini?Mtu ana mume wake,hamna uhusiano wowote, kutwa kukupiga vibomu.
Huko ni kujirahisisha, wanatafuta utongoze uwe msaidizi wa majukumu rasmi.
Mna kapenda kweli...🤣🤣🤣🤣 Haka kaneno kanachekesha kweli, 🙌 Eti nikuambie kitu?🤣
Mwanamke asiponiomba pesa nahisi hanipendi...
Poleni sana...
Tunajua unatusimanga sie wakina mzabzab kisa u a tako skonsiWanaume mmetofautiana,,ndio maana kuna wakina Fred vunja bei,na kuna kama nyie[emoji23],
Hakika ninao wengi love,nataka wakupunguzie mzigo wa majukumu...wewe uwe unakula Bata tu...Kweli tena, kama huniombi mimi basi Kuna unaemuomba...