Fanya kazi upate pesa, sio kuomba. Kama hiyo pesa nimeiokota nitakugawia, sio pesa niliyotoa jasho.
 
Ila wamezidi kuomba omba hawa viumbe
 
Mwanaume anayekupenda lazima akupe pesa sababu anajua ww ni jukumu lake…… km hutaki kuombwa pesa oa binamu zako simple tyuuuu.!!
Kubwa la maadui umechelewa sana kufika eneo la tukio,,, anyway wanakusoma vizuri,nadhani wataelewa
 
Kubwa la maadui umechelewa sana kufika eneo la tukio,,, anyway wanakusoma vizuri,nadhani wataelewa
😂😂😂😂 waoe binamu zao ili pesa zao wale wajomba na mashangazi zao, wasituchoshe mabinti wa mataifa….
 
Mwanamke haombi hela kwa mwanamme yeyote tu ,kama ulimtongoza tarajia mizinga tu ,ni win win situation.

Kama hautaki kutoa hela kapige mkono mmoja uone kama utaombwa pesa...Ukijichanganya kwao lazima wakupige vibomu.
 
Na kwa nini uwe na malaya wakati wanawake wenye heshima zao wapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…