Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero
Fanya kazi upate pesa, sio kuomba. Kama hiyo pesa nimeiokota nitakugawia, sio pesa niliyotoa jasho.
 
Binafsi kuna mda pesa yangu ina kua na mambo mengi kiasi kwamba una shindwa kumsaidia omba omba ata kama una tamani kumsaidia, ila tatizo lina kuja pale omba omba anapo hisi kanyimwa yani ana nuna utazani pesa yake [emoji28][emoji28]

Omba omba uhisi kama kupewa pesa ni haki yao na lazima [emoji81]
Ila wamezidi kuomba omba hawa viumbe
 
Mwanaume anayekupenda lazima akupe pesa sababu anajua ww ni jukumu lake…… km hutaki kuombwa pesa oa binamu zako simple tyuuuu.!!
Kubwa la maadui umechelewa sana kufika eneo la tukio,,, anyway wanakusoma vizuri,nadhani wataelewa
 
Kubwa la maadui umechelewa sana kufika eneo la tukio,,, anyway wanakusoma vizuri,nadhani wataelewa
😂😂😂😂 waoe binamu zao ili pesa zao wale wajomba na mashangazi zao, wasituchoshe mabinti wa mataifa….
 
Mwanamke haombi hela kwa mwanamme yeyote tu ,kama ulimtongoza tarajia mizinga tu ,ni win win situation.

Kama hautaki kutoa hela kapige mkono mmoja uone kama utaombwa pesa...Ukijichanganya kwao lazima wakupige vibomu.
 
Ndio maana mimi suala la kuhudumia malaya nilishalikataa.

Manzi kashatumika sana K mpaka imekata tamaa kwa mileages iliyoenda

Kuna wajinga wanamhudumia. Na hapo ukishika simu yake utaona wajinga wengi wanavyopangwa na malaya wakishare K na kumhudumia
Na kwa nini uwe na malaya wakati wanawake wenye heshima zao wapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom