Naam.Bloku
Yeye kila kitu ni kuomba omba hela; Ukitaka akufariji, yeye anataka hela Ukitaka akupe tendo yeye anataka hela Ukitaka mtoke 'out', yeye anataka hela Ukitaka m-'chat', yeye anataka hela Ukitaka akuite kimapenzi, yeye anataka hela
Kwa hali hii, tumefikia pabaya sanaKuna kauli moja nilishawahi kupewa ilikuwa imekaa kibabe sana niliambiwa hivi
"Ukiwa namimi sitaki uniambie hauna hela!".
Halafu ubaya penzi sikulifata!, yeye mwenyewe ndo alilitafuta!, baada ya hiyo kauli sidhani hata kama tulimaliza wiki ikaja kauli nyengine ambayo ndo ilikuwa yamwisho ati "Kumbe we ni kijana wa hovyo hivi!"... 🤣
nahisi hivi viumbe vilitokea jupiter kama sio Saturn!.
Inaweza kuwa tibaBloku
Na yeye si anakutumia mpaka jembe linaisha makali?Tuma hela acha visingizio, mkono mtupu haulambwi..No free lunch (in economics)
Mi sasahivi binti wa watu akinipeleka kaanani mi nampeleka gambushi inaitwa jino kwa jino!Kwa hali hii, tumefikia pabaya sana
Hatari sana, dunia imefika pabaya.Ni kumpa tu mkuu. Hakunaga dawa
Ni kweli, hakuna upendo pale, bali anakuwa anauza.Mwanamke anayeomba pesa sana Hana upendo wa kweli...
Hafai hata kwa kulumangia...
Ukimwambia huna, unapigwa chiniKama ninayo nampa, na kama sina namwambia tu