Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

Mtetee but ukiangalia Kwa kina ni kama mtu alieumizwa na ana vinyongo au machungu.
Hata wanawake humu tunapitia magumu lakini huwezi Kuta Jan-Dec mada zake ni kuwasema wanaume...
Kama anawapa elimu mbona haandiki mazuri?au wanawake wamejaa mabaya tu?
 
Natamani siku moja mtupumzishe jamani, mbona hatupendi hela sisi
Ni wanawake gani mnaowazungumzia sisi sisi wa mtaani au wa huko kwenu mbiguni
 
Dada!!!

Kila mmoja ana talanta yake,subiri na wewe atatokea siku mwanamke mwenzako mwenye kipawa cha kutoa semina kama hivi awafungue akili na ninyi kwa baadhi ya mambo anayoyajua.

Anachokifanya humu kuna watu sehemu wanalipia ili wakipate,huwezi kuelewa ila hujui kwa namna gani anawasaidia vijana especially wale wanaoingia mahusiano akili wakiziacha nyuma na ndilo wimbi sasa hivi limekuwa muhanga kwenye mahusiano kiasi wanadhani kila mwanamke hafai wanaishia kuimba kataa ndoa kataa ndoa kumbe wangekutana mapema na mada kama hizi zingeamsha fahamu zao wakachagua wisely wenza wanaowafaa.
 
Ungemalizia na pambaf kabisaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi nice guys ndo wale wavaa mashati ya vitenge?
 
Subiria uone comments za vijana wazaifu na mademu wenye visirani kuwa nyakati zimebadilika.
 


"ooh nikuambie kitu.."
"Bibi yake mama anaumwa.."
"Toothpicks zimeniishia geto.."
"Bebi ni nipeleke kitambaa cheupe"
πŸ‘ŽπŸ»βŒβŒβŒβŒβŒβŒπŸ™…πŸ»β€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…