Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero
jitu zima lenye vuz1 kila sehemu linataka lihudumiwe kama mgonjwa,
Acha tu ndugu yangu mbaya zaidi wanafikiri kupewa hela na mwanaume ni haki yao ambayo lazima waipate. Unakuta mwanaume hela yako umeitafuta kwa jasho lako bila mwanamke kuchangia lakini kausha damu atakusakama kwa maneno mabaya kisa haujamuonga
 
Mwaka

Ukijifanya mgumu utaishia nyetoni kama drone, [emoji16][emoji16][emoji16]
Izo ni fikra zenu msiojiamini na ambao mnaangaika kuficha udhaifu wenu kwa kutumia pesa. Binafsi siongi na mbususu nazichakata kama kawaida. Ni suala la kumuweka wazi mwanamke principles zako kuanzia mwanzo kwaiyo atachagua mwenyewe aishi humo au asepe
 
Serikali haiwezi kumsaidia MTU ambaye ameamua kuwa mjinga.

Kuna utofauti Kati ya mhalifu criminal na mwathirika victim.

Wanawake ambao wameamua kudanga au kujiuza , usiwahukumu most of them they are victims.

So don't blame them.
Je na vibaka nao tusiwalaumu wala kuwachukulia hatua zozote maana kuna jobless humo ambao ni victims wa mifumo mibovu ya elimu na uchumi waliyoikuta?
 
Izo ni fikra zenu msiojiamini na ambao mnaangaika kuficha udhaifu wenu kwa kutumia pesa. Binafsi siongi na mbususu nazichakata kama kawaida. Ni suala la kumuweka wazi mwanamke principles zako kuanzia mwanzo kwaiyo atachagua mwenyewe aishi humo au asepe
Kweli kabisa mkuu sio poa
 
Nini mbaya totoo? Asubuhi yote hii ushaanza ku complicate maisha?
Vitakuchachia mapema 🚮
Najua uzi huu utavamiwa na kausha damu wakiongozwa na @Depal . Kausha damu wote nawapeni makavu live, sex ni mutualy pleasure sio biashara. Mkitumia kigezo cha kugawa mbususu kama justification ya kupewa hela au matunzo kutoka kwa mwanaume ambae sio mmeo basi nyie ni makahaba tu.
 
Je na vibaka nao tusiwalaumu wala kuwachukulia hatua zozote maana kuna jobless humo ambao ni victims wa mifumo mibovu ya elimu na uchumi waliyoikuta?

Unapokuwa unapambana na tatizo lazima ujikite kuangalia njia bora ambazo hautoumiza watu na wewe hautojiumiza.

MTU kuwa msomi na akawa kibaka hiyo 'Ari' inaweza kusababishwa na mambo mengi Sana ikiwemo kukosa insight, personal growth, deep thinking, addiction , stress &depression hivyo huyo ni mwathirika a victim anabidi kupewa second chance to restore his or her mind.

As well MTU kuwa ,mdangaji ,Malaya , kausha damu n.k moja kwa moja huyo ni victim Mwathirika anabidi kupewa more second chance.

Watu wamekwama mkuu kuanzia mentally , spiritual, financially , they are no longer thinking effectively hivyo kuendelea kulaumu na kuwaita majina mabaya unabidi kujua unakosea Sana. tena Sana.

Ebu jiulize swali hao wadangaji wapi huwa wanawekeza their money baada ya kuhongwa ? Means they earn a lot of money but they end up being broke and depressed year to year .

Also njoo kwa vibaka where they spend their money after does damn ? Means wanatumia the all money they earn kununua Malaya , pombe , Kubeti, and other shit.

So the solution to deals with these such kind of people is to unlock their mind first. And give them second chance before the mob justice (killing) to take place.

We need to be creatures of logic and not Emotions
 
Zamani wanawake walikua wanaongozwa na upendo mambo ya kupewa mahitaji na vizawadi vya hapa na pale zilikua kama hamsha hamsha tu za kunogesha mapenzi hawakuchukulia kama ni mambo ya lazima kupewa na boyfriend ila kwa sasa wanawake wameyafanya mapenzi kuwa ajira na wanafikiri kupewa hela na mwanaume ni haki yao ambayo lazima waipate.
Zamani gani unayoizungumzia wewe wa mama wa 70,80,90 mwisho ni 2000 fulani hivi.
Ila wanawake wa balehe mpaka umri wa miaka 50+ wa siku hizi wengi wao ni viumbe vya hovyo, sio wote ila wengi tu, wanalika kizembe na kwa vitu vidogo vidogo.
 
Nini mbaya totoo? Asubuhi yote hii ushaanza ku complicate maisha?
Vitakuchachia mapema [emoji706]
Tunawapa makavu live msifikiri tunawaonea wivu, mmekua kero. Siku moja nilikua napiga story na mzungu nikammuliza kuhusu wakina dada wa Tanzania akasema nyie ni gold diggers, yaani mkichat text mbili tatu out of nothing mnaanza kuomba hela. Acheni huo ujinga mnalitia aibu taifa. Na tabia yenu kuendekeza tamaa ya vitu msivyovimudu nakwambia mwaka huu tutawafumua sana marinda.
 
Unapokuwa unapambana na tatizo lazima ujikite kuangalia njia bora ambazo hautoumiza watu na wewe hautojiumiza.

MTU kuwa msomi na akawa kibaka hiyo 'Ari' inaweza kusababishwa na mambo mengi Sana ikiwemo kukosa insight, personal growth, deep thinking, addiction , stress &depression hivyo huyo ni mwathirika a victim anabidi kupewa second chance to restore his or her mind.

As well MTU kuwa ,mdangaji ,Malaya , kausha damu n.k moja kwa moja huyo ni victim Mwathirika anabidi kupewa more second chance.

Watu wamekwama mkuu kuanzia mentally , spiritual, financially , they are no longer thinking effectively hivyo kuendelea kulaumu na kuwaita majina mabaya unabidi kujua unakosea Sana. tena Sana.

Ebu jiulize swali hao wadangaji wapi huwa wanawekeza their money baada ya kuhongwa ? Means they earn a lot of money but they end up being broke and depressed year to year .

Also njoo kwa vibaka where they spend their money after does damn ? Means wanatumia the all money they earn kununua Malaya , pombe , Kubeti, and other shit.

So the solution to deals with these such kind of people is to unlock their mind first. And give them second chance before the mob justice (killing) to take place.

We need to be creatures of logic and not Emotions
Mkuu huwezi kushughulika na mwanamke wa kiafrika kisoft soft namna iyo. Mwanamke wa kiafrika ili somo limuingie lazima apelekeshwe kitumwa. Ukileta hayo mambo ya kujifanya nice guy kausha damu wataishia kukuona mwanaume dhaifu. Hawa dawa yao ni kuwapa makavu na kuwapiga matukio tu.
 
Yes I'm a nice guy

Na naamini katika positive outcome ni ngumu mwanamke akanifanyia mambo mabaya yoyote kwa sababu Mimi huwa nakuwa na MTU kwa Len go la kumjenga zaidi , mentally , and to give her the emotional support.

I don't need to be nasty to anybody

To be nice guy it is pay in long run
 
Mkuu jitahidi ujifunze emotions intelligence , unajua wanawake they are too emotional , hivyo ikiwa wewe mwanaume your not smart upstairs ni ngumu Sana the opposite sex kuwa smart upstairs.

So dig more knowledge , ikiwa unawaza kuwafumua MARINDA je hauoni kuwa unakosea Sana

Ukiwa negative people na unawakosoa Sana wanawake unakuwa hauwasidii ,unabidi Ku-deal na MTU in positive way ili apate insight. Ya kubadilika.
Kausha damu ni kero mkuu na sasa wameenda mpaka kimataifa kausha damu wapo uko tinder, badoo, tagged na role model wao ndio hamisa mobeto kila siku kubadilisha wanaume very soon tutegemee kusikia Tanzania ni taifa la gold diggers. Ningekua na mamlaka ningeamulu wakusanywe wote watumbukizwe kwenye tanuri la tindikali
 
Kuwa positive , usiwekeze katika kuwachukia kausha damu , tatizo limeanzia mbali ,wewe Kama msomi elewa hilo swala.

Unachohitaji is to play smart kuhakikisha unatunza PESA zako na unakuwa na mwanamke ambaye anaelewa Sana kuhusu maisha.

Don't hate anybody in this life.

Back
Top Bottom