Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Afu ckuiz kausha damu Ni wengi Sana dadekii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapigwa na mwichi kichwani 🤣😂Intelligent businessman dronedrake ushauri wa haraka unahitajika
Nasikia ana Lia kabisa 😆🤣Asubuhi yote hii unaamka na kuanza kulia?? Utafika kweli we mji wa Kaanani?
Dah dharau hizi 😂😂, ana LiaPole sana kijana,mfikishie ujumbe huyo binti kuwa sisi hatujapenda anachokufanyia tangu jana.
Lolote litalokukuta tutadeal naye.
Muitaly kakutana na mjerumani😆😄Muitaliano limekukuta jambo 😅
Chuma kimelia 😂Muitaly kakutana na mjerumani😆😄
Ndo tatizo la ombaomba, mnajua mwanaume huwa hakosi hela. Akiwa Hana unaenda kwa mwingine kuombaMwanaume anamtunza Mtu anayempenda,Ukiona hupewi Hela ujue Kuna anayekula Hela zake
Upewa hela kwa sababu gani ?Mwanaume anamtunza Mtu anayempenda,Ukiona hupewi Hela ujue Kuna anayekula Hela zake
MAHUSIANO SIO SEHEMU YA KUINGIZA KIPATO
Naunga mkono hojaMAHUSIANO SIO SEHEMU YA KUINGIZA KIPATO
Sisi maskini ndo tupo, hela hatunaMwanaume anamtunza Mtu anayempenda,Ukiona hupewi Hela ujue Kuna anayekula Hela zake
Naunga mkono hoja....hawaruhusiwi kuomba ata jero
Mkuu ulishahama uchagani?Sisi maskini ndo tupo, hela hatuna
Mtake, msitake.
Sisi wanaume wanoko , tuseme tu mwamba yupo sahihi kama bado anajitafuta akijipata ataona kaandika pumba[emoji12]Mwanaume anamtunza Mtu anayempenda,Ukiona hupewi Hela ujue Kuna anayekula Hela zake
😂😂😂😂Ongezeni mbinu jamani za kuongeza kipatoSisi maskini ndo tupo, hela hatuna
Mtake, msitake.