Wanawake wanataka usawa kwenye kila kitu kasoro hapo kwenye kujumuishwa katika ulipaji wa bills. Elimu usawa, uongozi usawa, ajira usawa, kurithi mali usawa, uhuru usawa. Haya mama umepewa access zote za kutafuta maisha basi mahusiano ya kimapenzi yawe mutualy pleasure tu asitokee mmoja kutaka gawio kwenye pesa ya mwenzake hapo utaitwa dume suruali. Haya mama tumefunga ndoa basi wote tulete kitu mezani ku-solve bill za nyumbani hapo utaitwa marioo. Wanawake wanataka usawa lakini hawautaki wajibu unaotokana na huo usawa