Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero
Ni utofauti wa kipato na moyo wa utoaji. Kuna wanaotoa zaidi ya hiyo na wala hawaoini shida sababu hela ipo.
Ni kweli kabisa lakini huo utoaji usichague jinsia. Tupo kwenye zama za 50/50 mwanamke kapewa uhuru na access zote za kutafuta maisha na tumeshuhudia wanawake wengi wamefanikiwa kiuchumi zaidi ya wanaume kwaiyo tuachane na fikra kwamba ni lazima mwanaume awe mtoaji na mwanamke awe mpokeaji. Utoaji uwe mutualy responsibility, umepokea mshahara mbless bwana wako na iyo laki 4 kuonyesha mfano.
 
Wanawake wanataka usawa kwenye kila kitu kasoro hapo kwenye kujumuishwa katika ulipaji wa bills. Elimu usawa, uongozi usawa, ajira usawa, kurithi mali usawa, uhuru usawa. Haya mama umepewa access zote za kutafuta maisha basi mahusiano ya kimapenzi yawe mutualy pleasure tu asitokee mmoja kutaka gawio kwenye pesa ya mwenzake hapo utaitwa dume suruali. Haya mama tumefunga ndoa basi wote tulete kitu mezani ku-solve bill za nyumbani hapo utaitwa marioo. Wanawake wanataka usawa lakini hawautaki wajibu unaotokana na huo usawa
 
We bwana akili yako. Ebu soma tena nilichoandika linganisha na niliemquote aliandika nini. Huwa unateseka sana kusikia mwanaume anatoa hela kumpa mwanamke wake. Hakuna sehemu nimeandika ni lazima mwanaume awe mtoaji, usinilishe maneno.

Nyie wanaume mnatofuatiana, kuna wewe alafu kuna wenzako kwao kuwapa pesa wanawake zao sio tatizo na ndio kitu wanafurahia kwa hiyo kiongozi ebu kila mtu aishi maisha yake basi.
 
Wanawake wanataka usawa kwenye kila kitu kasoro hapo kwenye kujumuishwa katika ulipaji wa bills. Elimu usawa, uongozi usawa, ajira usawa, kurithi mali usawa, uhuru usawa. Haya mama umepewa access zote za kutafuta maisha basi mahusiano ya kimapenzi yawe mutualy pleasure tu asitokee mmoja kutaka gawio kwenye pesa ya mwenzake hapo utaitwa dume suruali. Haya mama tumefunga ndoa basi wote tulete kitu mezani ku-solve bill za nyumbani hapo utaitwa marioo. Wanawake wanataka usawa lakini hawautaki wajibu unaotokana na huo usawa
I concur....umegonga mule mule.
 
We bwana akili yako. Ebu soma tena nilichoandika linganisha na niliemquote aliandika nini. Huwa unateseka sana kusikia mwanaume anatoa hela kumpa mwanamke wake. Hakuna sehemu nimeandika ni lazima mwanaume awe mtoaji, usinilishe maneno. Nyie wanaume mnatofuatiana, kuna wewe alafu kuna wenzako kwao kuwapa pesa wanawake zao sio tatizo na ndio kitu wanafurahia kwa hiyo kiongozi ebu kila mtu aishi maisha yake basi.
Hata kana haujasema moja kwa moja lakini hayo ndio mawazo yenu kwamba linakuja suala la pesa nyie ni wapokeaji na wanaume ni watoaji, umetetea suala la utayari wa kutoa ni kwa sababu jamaa aliongelea mwanaume kumpa laki 4 ya matumizi mwanamke lakini kama angesema mwanamke ampe laki 4 ya matumizi mwanaume nina uhakika ungepinga. Kwenye kutoa hamtaki mutualy responsibility mnataka nyie muwe wapokeaji tu.
 
Back
Top Bottom