Wanawake Ruangwa wagalagala chini kufurahia ujio wa Rais Samia, wasema hawakutegemea ujio wake hususani kwa Waziri Mkuu!

Wanawake Ruangwa wagalagala chini kufurahia ujio wa Rais Samia, wasema hawakutegemea ujio wake hususani kwa Waziri Mkuu!

Jana 17/9/2023 Rais Samia alivyofika Ruangwa baadhi ya wanawake walimpokea kwa kugaladala chini, wakisema hawakutegemea kama Rais Samia anaweza kufika Ruangwa na kwamba wanashukuru sana.

Afya ya akili ni janga linazid kukua kila kukicha!! Et hata nape walilala chini huku akipita juu yao akiwakanyaga churaz!!
 
Inapaswa wakapimwe akili kama wapo sawa vichwani mwao.

Halafu mbeleni wanakuja kulalamika kuteguka viuno kama yule wa Nape.

Kwa ujuha huu, CCM itatawala milele na milele.
 
Jana 17/9/2023 Rais Samia alivyofika Ruangwa baadhi ya wanawake walimpokea kwa kugaladala chini, wakisema hawakutegemea kama Rais Samia anaweza kufika Ruangwa na kwamba wanashukuru sana.

Hapo ubwabwa kanga za bure wanajitoa akili etihakuna changamoto khaaa safari ndefu sana watu 20 wameshiba ndondo wanajibia wilaya nzima....elimu elimu elimu
 
Back
Top Bottom