Wanawake Ruangwa wagalagala chini kufurahia ujio wa Rais Samia, wasema hawakutegemea ujio wake hususani kwa Waziri Mkuu!

Wanawake Ruangwa wagalagala chini kufurahia ujio wa Rais Samia, wasema hawakutegemea ujio wake hususani kwa Waziri Mkuu!

Walale tena atembee juu ya migongo yao. Hao walishazoea juzi nimemsikia mmoja analia eti aliumizwa mgongo alipokanyagwa na Nape!
Aulize kwingine ndani ya nchi hii wenye uzwazwa kama huo hakuna zaidi ya huko ambako Hawataki kusoma,kama mtu anaweza kumruhusu Nape apite juu ya mgongo wake sasa unadhani kuna mtu hapo.
 
Labda wenyeji wa Ruangwa wameridhika na UMASIKINI inafikia milo miwili wanaona ni anasa 🤔

Imagine wangepata UTAWALA BORA wakawa wanakula milo mitatu ya kushiba na katikati ya milo hiyo kunakuwa na vitafunwa na juisi mbalimbali halafu hapohapo wanaumeme wa uhakika na wa bei nafuu

Na kwa kila watu 20 wanadaktari mmoja na madawa yamejaa na ni bei rahisi...

Labda hapo wasingegalagala kwa kuhofia afya zao kuingiwa na germs.

Na laiti wangejua Maisha wanaoishi hao viongozi wao na wangejua kuwa watoto wa Viongozi wanasomeshwa USA na UK sijui kama wangegalagala.
Ni wote mkuu sio huko Ruangwa tu, tena imagine ndio alikotoka PM
Hiyo milo mitatu wqipatie wapi wakati hakuna wanaowajali huku wakiwaona kama misukuli au misukule kabisa
Kufika walipo wenzetu inataka jitihada ya hali ya juu Mkuu
Wenzetu sio tu serikali inafanya kila kitu bali wananchi wana michango mikubwa sana katika jamii

Kuna Charities nyingi sana nchini ambazo tunatoa kutokana na ipi unataka usaidie
Kama ni kusaidia utafiti wa madawa kama cancer research ambapo watu wanatoa hela sana na pia kama kusaidia mahospitali na hata walemavu
Kwa hiyo nchi ni lazima iwe juu kumaendeleo kama binadamu wanajijali na kuwajali wenzao

Masikini wengi hawana tabia ya kutoa ndio maana hata nikiamua kutoa chakula kwa majirani huko wanasema ni ndagu
Yaani umasikini ni Laana
Hebu angalia na hawa wengine, tena waumini wana muombea mchungaji akiwa juu ya mti, kawaambia anapaa anaenda mbinguni kidogo atarudi
Sasa hebu fikiria hao nao wanajiita binadamu
Screenshot_20230918_124333_WhatsApp~2.png
 
Ingekuwa kipindi kile cha Mwl Nyerere ndiyo mmpokee hivyo kwanza angewapasua kwa maneno makali sana.
Wajinga ndiyo waliwao, wakitoka hapo hawana ata sabuni ya kufulia nguo maskini wa Mungu.
Hapo utakuta Mh. Rais amechukizwa na upumbavu wa hao akina mama badala ya kuwaambia kero zao kama vile ukosefu wa barabara ya lami pamoja, ukosefu wa bima ya Afya, masoko ya uhakika wa zao la ufuta ila wao wapo kama Zombie.
Cha kushangaza utakuta kuna kiongozi wa Chama cha CCM alipewa hayo majukumu ya kuhakikisha hao akina mama wanajichafua kwenye vumbi alafu ndiye anaeonekana anachapa kazi.
 
Jana 17/9/2023 Rais Samia alivyofika Ruangwa baadhi ya wanawake walimpokea kwa kugaladala chini, wakisema hawakutegemea kama Rais Samia anaweza kufika Ruangwa na kwamba wanashukuru sana.

Hii ushahidi wa kiwango cha umaskini, na ufukara wa wananchi!
Yaani unajiona duni kiasi kwamba mavi ya watoto wa jirani yako,ni marashi kwa watoto wako, unayachukua unaweka vyumbani mwao,na unawaambia watoto wako, mkiwa mnacheza na watoto wa jirani, wakijamba, pigeni makofi na kushangilia kama mmepewa Baraka!
Ccm ni wauaji,zaidi ya Idi amin,Hitler, Alshababy, Boko Haram,
Kenge wa ccm wanaua spirit ya wananchi, kuwafanya waamini,wao, kuwa maskini ni Baraka kwao, na ma ccm kuwa na ukwasi ndio sawa,
 
Level ya ujinga nchi hii unatisha
 
Back
Top Bottom