Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Hawana shughuli za kufanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakika hii nchi ina wagonjwa wengi wa afya ya akili
Chadema wanaona wivuNa hawa wangegalagala kwa ajili ya Lissu au mbowe wangekuwa sio wagonjwa wa afya ya akili. /ZERO BRAIN.
Nenda Uganda uone Mfalme Kabaka akiwa safarini mitaa ya Kampala hadi Maprofesa wanawake kabila la Baganda huanguka chini wakikutana na msafara wa Mfalme Kabaka..Hushuka kwenye magari hata yawe mabenzi au maprado na kughala ghala chini hivyoHakika hii nchi ina wagonjwa wengi wa afya ya akili
Sasa utafurahiaji kuja kwa mtumishi wako unayemlipa mshahara kwa kodi zako?Na hawa wangegalagala kwa ajili ya Lissu au mbowe wangekuwa sio wagonjwa wa afya ya akili. /ZERO BRAIN.
Hayumkini hili ni moja ya eneo lenye maendeleo duni TanzaniaJana 17/9/2023 Rais Samia alivyofika Ruangwa baadhi ya wanawake walimpokea kwa kugaladala chini, wakisema hawakutegemea kama Rais Samia anaweza kufika Ruangwa na kwamba wanashukuru sana.
UsaniiWanawaje wa mtwara wanapenda kugalagala🤣🤣🤣
Alipofika nape mwaka ule wa uchaguzi walilala kifudifudi akawakanyaga makalio akapita🤣
Hawakuwa chawa wake hao lakini??Jana 17/9/2023 Rais Samia alivyofika Ruangwa baadhi ya wanawake walimpokea kwa kugaladala chini, wakisema hawakutegemea kama Rais Samia anaweza kufika Ruangwa na kwamba wanashukuru sana.
Kuna wengine wagonjwa mpaka leoWanawaje wa mtwara wanapenda kugalagala🤣🤣🤣
Alipofika nape mwaka ule wa uchaguzi walilala kifudifudi akawakanyaga makalio akapita🤣
Mkuu huko Uingereza Rishi Sunak akitembelea kwenye Wilaya Waingereza huwa wanagalagala chini kwa furaha?Kuna wengine wagonjwa mpaka leo
Watafungwa 😆 😂 😆Mkuu huko Uingereza Rishi Sunak akitembelea kwenye Wilaya Waingereza huwa wanagalagala chini kwa furaha?
Labda wenyeji wa Ruangwa wameridhika na UMASIKINI inafikia milo miwili wanaona ni anasa 🤔Watafungwa 😆 😂 😆
Hata msafara wenyewe ni pikipiki 3 na Gari 3 tu
Huo mda wa kugaragara labda wale wapingaji wanaojipaka mpaka super glue
Walale tena atembee juu ya migongo yao. Hao walishazoea juzi nimemsikia mmoja analia eti aliumizwa mgongo alipokanyagwa na Nape!Jana 17/9/2023 Rais Samia alivyofika Ruangwa baadhi ya wanawake walimpokea kwa kugaladala chini, wakisema hawakutegemea kama Rais Samia anaweza kufika Ruangwa na kwamba wanashukuru sana.