Hawana Akili hao wala hawajielewi.Jana 17/9/2023 Rais Samia alivyofika Ruangwa baadhi ya wanawake walimpokea kwa kugaladala chini, wakisema hawakutegemea kama Rais Samia anaweza kufika Ruangwa na kwamba wanashukuru sana.
Aulize kwingine ndani ya nchi hii wenye uzwazwa kama huo hakuna zaidi ya huko ambako Hawataki kusoma,kama mtu anaweza kumruhusu Nape apite juu ya mgongo wake sasa unadhani kuna mtu hapo.Walale tena atembee juu ya migongo yao. Hao walishazoea juzi nimemsikia mmoja analia eti aliumizwa mgongo alipokanyagwa na Nape!
Hakika hii nchi ina wagonjwa wengi wa afya ya akili
Ni wote mkuu sio huko Ruangwa tu, tena imagine ndio alikotoka PMLabda wenyeji wa Ruangwa wameridhika na UMASIKINI inafikia milo miwili wanaona ni anasa 🤔
Imagine wangepata UTAWALA BORA wakawa wanakula milo mitatu ya kushiba na katikati ya milo hiyo kunakuwa na vitafunwa na juisi mbalimbali halafu hapohapo wanaumeme wa uhakika na wa bei nafuu
Na kwa kila watu 20 wanadaktari mmoja na madawa yamejaa na ni bei rahisi...
Labda hapo wasingegalagala kwa kuhofia afya zao kuingiwa na germs.
Na laiti wangejua Maisha wanaoishi hao viongozi wao na wangejua kuwa watoto wa Viongozi wanasomeshwa USA na UK sijui kama wangegalagala.
Uchuro tu!!!Jana 17/9/2023 Rais Samia alivyofika Ruangwa baadhi ya wanawake walimpokea kwa kugaladala chini, wakisema hawakutegemea kama Rais Samia anaweza kufika Ruangwa na kwamba wanashukuru sana.
Wivu tu.
Hii ushahidi wa kiwango cha umaskini, na ufukara wa wananchi!Jana 17/9/2023 Rais Samia alivyofika Ruangwa baadhi ya wanawake walimpokea kwa kugaladala chini, wakisema hawakutegemea kama Rais Samia anaweza kufika Ruangwa na kwamba wanashukuru sana.
Level ya ujinga nchi hii unatishaHii ushahidi wa kiwango cha umaskini, na ufukara wa wananchi!
Yaani unajiona duni kiasi kwamba mavi ya watoto wa jirani yako,ni marashi kwa watoto wako, unayachukua unaweka vyumbani mwao,na unawaambia watoto wako, mkiwa mnacheza na watoto wa jirani, wakijamba, pigeni makofi na kushangilia kama mmepewa Baraka!
Ccm ni wauaji,zaidi ya Idi amin,Hitler, Alshababy, Boko Haram,
Kenge wa ccm wanaua spirit ya wananchi, kuwafanya waamini,wao, kuwa maskini ni Baraka kwao, na ma ccm kuwa na ukwasi ndio sawa,