Wanawake siku hizi wanapenda hela kuliko kuridhishwa

Wanawake siku hizi wanapenda hela kuliko kuridhishwa

Binafsi naamini, wanawake bado hawajui wanataka nini.

Kuna watu wana pesa na wanapiga mashine vizuri ila wanawake bado wanavhepuka.

Na kuna mademu wanagongwa vizuri ila hawapati pesa hivyo wanacheat kupata pesa.

Kuna wengine hawaridhiki tu
There are only three things women need in life: food, water, and compliments. Mengine tunajichosha tu
 
Ukiona hivyo jua wewe ni buzi tu kwake ila ana mtu wake anayempenda ndo ayemridhisha kingono
 
Ni vizuri ukaelewa tu Kila mwanamke ana mtu anampenda na Wala haombi hela,
Na upande wa pili wapo anaowaomba Hela tena akiwa ndiyo akutaki ndiyo atakuomba Hela hovyo mpaka ukereke
Wewe pia huwajui ukiona hakuombi jua anasikilizia upepo tu hawajaumbwa hivyo, aanze kuvuja damu hana hela asikuombe wewe akaombe mwingine na wewe ndio unaemwingizia hivi unawachukuliaje wanawake ?
 
Wewe pia huwajui ukiona hakuombi jua anasikilizia upepo tu hawajaumbwa hivyo, aanze kuvuja damu hana hela asikuombe wewe akaombe mwingine na wewe ndio unaemwingizia hivi unawachukuliaje wanawake ?
If a woman watches a movie alone, who answers all of her questions? Anapaswa ajiulize hapoπŸ˜‚
 
Msiwazeeee sie tena.. sie ndio wanaume hakuna tumacho shindwa hata kama mtataka damu zenu tutawapaπŸ˜…πŸ˜…
National Anthem πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘

🩸 🩸 🩸 πŸ™…πŸ™…πŸ™…

πŸ˜™πŸ˜™πŸ˜™ πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰ - πŸ’°πŸ’°πŸ’°πŸ’°πŸ’°πŸ’°πŸ’°πŸ’°πŸ’°

πŸ€—πŸ€—πŸ€—
 
National Anthem πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘

🩸 🩸 🩸 πŸ™…πŸ™…πŸ™…

πŸ˜™πŸ˜™πŸ˜™ πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰ - πŸ’°πŸ’°πŸ’°πŸ’°πŸ’°πŸ’°πŸ’°πŸ’°πŸ’°

πŸ€—πŸ€—πŸ€—
Use money and love people. Don’t use people and love money.
 
Kwani To yeye anasemaje kuhusu hii issue?

binti kiziwi hizi tuhuma zina ukweli ndani yake?
Sijui niseme sijui niache πŸ˜‚πŸ€£

Kwa miaka kadha wa kadha mwanaume kazi yake ilikuwa kuprovide security kwa mwanamke/wanawake zake. Kuhusu hiyo security ilikuwa inatolewaje ndio imetofautiana kwa nyakati za kale na sasa.

Kwasasa security ya ME ni pesa zake, halafu waache kutulaumu wanawake kuwa tunapenda pesa, kwani ninyi wanaume hampendi pesa? Kwani yeye mtoa mada siku akiwa na pesa na siku akiwa hana anajisikiaje?

Kuhusu kupenda pesa kuliko kukojozwa hapo no comment! πŸ˜‚ Ila kukiwa na pesa kojo
Linakujaga tu lenyewe πŸ˜‚πŸ€¦πŸ»β€β™€οΈπŸ€¦πŸ»β€β™€οΈ
 
Back
Top Bottom