Wanawake siku hizi wanapenda hela kuliko kuridhishwa

Wanawake siku hizi wanapenda hela kuliko kuridhishwa

Mmekariri mtu anakua na Hela ya kawaida sio tajiri jmn....kwani ye hafai kupendeza🤣

Yaani ana uwezo wa kukupa matumizi ya kawaida tu sio zile za mil,na nn
Hapo Sawa , mwanamke ana uchi mwingi kuhudumiwa ni constant yaan , wakat tunasoma Sisi , unashangaa Mzee wewe anakupa 50000 ya matumizi , Ila sister anapewa 150000 , mwanaume unaweza kaa hata wiki mbili hujaoga na hamna mtu anaweza notice hcho kitu , Ila mwanamke ni SKU mbili tuu ananuka vibaya Sana .... Mtu anaombwa na demu wake vipesa Kwa wiki inafika 20000 au 30000 anaanza kulalamika kuwa demu anapenda pesa , wakat huo huyo demu anasoma au Hana kazi sasa unategemea ahudumiwe na Nani kama we unakimbia majukumu hamna kitu kama hcho popote pale , binti anayeomba sjui Leo laki tano kesho million huyo ni mdangaji na ipo wazi anadanga ... Ila mwanamke kuhudumiwa haikwepeki
 
Ww ni tajir nakupa dadaang cocastic
1685096238476.png
 
Unajua mie nashindwa kuelewa kitu kimoja, sasa wanaume ukiacha hela mnataka mpendewe nini kingine tabia au, sasa kwa tabia gani nzuri mlizonazo hadi mpendwe maana hata ninyi huwa kuna vitu vinafanya muwapende wanawake hamuwapendi hivi hivi tu
 
Unajua mie nashindwa kuelewa kitu kimoja, sasa wanaume ukiacha hela mnataka mpendewe nini kingine tabia au, sasa kwa tabia gani nzuri mlizonazo hadi mpendwe maana hata ninyi huwa kuna vitu vinafanya muwapende wanawake hamuwapendi hivi hivi tuu.
Tunawapendea tako na matiti.
Basi na nyie mtupendee six pack na urefu
 
Kwahyo nalia ngwea analipiaga shingapi? Maana wanasema analala sebuleni kwa shemeji yake ambapo dadaake mkubwa kaolewa kama mke watatu baada ya shemej yake kufiwa na mke mkubwa

Kuna mkeka ulitick ndio akanipa ila soon nampa kibuti sababu ss hivi kila akibet mikeka inachanika [emoji1787]
 
Huwezi kumchagulia mtu cha kukupendea bwashee, wanaopenda hayo masix packs sijui tall dark ni wao ila kuna watu hawavutiwi na hivyo vitu, vile vile siyo wanaume wote wanavutiwa na matako na matiti wengine tabia na uzuri wa sura nk
Mwanaume gani ambaye havutiwi na matiti au tako? 😲😲😲 Yuko wapi tukamshangae
 
Back
Top Bottom