Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Mmekariri mtu anakua na Hela ya kawaida sio tajiri jmn....kwani ye hafai kupendeza🤣Huyo demu atakuwa Sura ngumu au mtu Pori , pisi kali anayejipenda hawezi date na mtu Hana hela, hyo haipo , ili apendeze anahtaji Gharama hzo Gharama atatoa wapi ? Lazima ahudumiwe tuu
Yaani ana uwezo wa kukupa matumizi ya kawaida tu sio zile za mil,na nn