Wanawake siku hizi wanapenda hela kuliko kuridhishwa

Wanawake wa siku hizi wanataka hela tu hata kama mwanaume hapeleki moto kisawasawa kwa mwanamke si ishu. Ukitoa hela unapewa vituz ushindwe mwenyewe na uaibike mwenyewe. Hela zinaficha udhaifu wa mwanaume katika kufanya majamboz. Hela ni ishu, kushindwa kupanda mlima si ishu
 
Utapeli uliokubuhu
 
Acha kabisa....

Mimi hata nikiwa na Laki akanipa Elfu 50....Naipenda kuliko Laki yangu[emoji2]
 
hili swala la kumridhisha mwanamke mbon tushaachaga kitambo,wengi makelele yao kwenye mtifuano ni ya kuigiza,mtu kaanza kupigwa mashine tangu 15 huko leo ana 26 unamuhangaikia kumridhisha ARE YOU MAD!!!
Kwenye sex jiridhishe wewe kwanza wenzio wakitoka kwako wana watu wao hao
 
Ukweli mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…