Wanawake tafuteni hela zenu ni raha sana


Kuna bidada nlitaka nimuwezeshe mtaji lakini baada ya kuona post yako nahis atakuwa kama wewe .....Sera ni ile ile Bora kuwapa hela ndogo ndogo mrudi tena kuomba nyingine sio kwa jeuri iyo.
 
Ndio maana nawaasaga vijana humu kuwa mwanamke wa miaka 20-24 hafai πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Ila kuanzia 25 na kuendelea walau anakuwa ameanza kukomaa kifikra unaweza panga nae mipango ya kimaisha sasa. Naona utabiri umetimia hatimae umekuwa mwanamke kamili sasa. Hongera sana!
 
Kweli ukiwa na hela yako full confidence no stress hata na umalaya unaisha kabisa. Nashauri wanawake tutafte hela zetu Ili tuwe na amani Mimi binafsi nachukia kuomba omba, sio una shida una omba mtu hela badala akupe msaada anataka akulale
Eeh lazma upigwe mkojo kwanza ndio maswala ya miamala yaendelee utapewaje hela bure bure tu 😁
 
Eeh lazma upigwe mkojo kwanza ndio maswala ya miamala yaendelee utapewaje hela bure bure tu [emoji16]
Ndo Mana natafta hela zangu na ninakuwa na mwanaume nimtakaye Mimi sio KWA ajili ya hela zake, Bora buku yangu ya Halali na sio kunyamywasa kihisia au kingono
 
Women love money while Men love sex..
It's just a matter of makubaliano ya kupeana
Everybody loves money ndio maana wanaume tunapambana kuwa nazo. Ila its a matter of priority!

Mwanaume anasaka hela akipata mkondo mzuri wa hela anasaka papuchi za kujiburudisha hapa ndipo pesa zinaliwa sasa...Ila mwanamke yeye anatamani vitu vizuri vizuri vinavyotaka pesa always, hivyo ili akidhi tamaa zake atakubali awe na mwanaume wa kumpa pesa tu hio ndio priority yake ya kwanza then anakuwa free kukupa papuchi.

Hii ni Cycle ambayo iko infinity!
 
Ndo Mana natafta hela zangu na ninakuwa na mwanaume nimtakaye Mimi sio KWA ajili ya hela zake, Bora buku yangu ya Halali na sio kunyamywasa kihisia au kingono
Umeongea kitu muhimu sana na cha kweli! Wanawake wengi wapo na watu ambao hawawapendi sababu ya umaskini tu. Ila mwanamke akijua kutafuta ana chance ya kuwa na mwanaume ampendae by 100% japo kuna wanawake malaya huharibu zaidi sababu hukosa uvumilivu wa kustahimili mwanaume mmoja unakuta hatulii anabadili mabwana maana ana jeuri.
 
Si ushukuru una huyo beby mwenye kipato cha kuku spoil! Ungepata beby ambaye hana mchongo au mchongo umekufa ghafla ungefanyeje?
 
Tatizo jingine linalokuwa kwa kasi ni hili la wanawake wenye uwezo kiuchumi kuchukua hadi tabia za kiume.

Anaoa mwanaume fulani, akimchoka anapiga chini na kuchukua mwingine. Unaweza kuona hili kwa Shilole, tena hawana aibu kabisa.
 
Hahahahahahah iliandikwa mtakula kwa jasho πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
 
Tatizo jingine linalokuwa kwa kasi ni hili la wanawake wenye uwezo kiuchumi kuchukua hadi tabia za kiume.

Anaoa mwanaume fulani, akimchoka anapiga chini na kuchukua mwingine. Unaweza kuona hili kwa Shilole, tena hawana aibu kabisa.
Ndio maana nikasema kuna wanawake malaya, hawa akiwa na hela zake ni bure tu sababu wengi sio wastahimilivu πŸ˜‚!

Yani kwakuwa ana hela, orders anazopewa na mume zinakuwa optional tu. Anaamua ipi afuate ipi asifuate. Ndio maana huishia kwenye migogoro na mwisho ndoa au uchumba huvunjika.

Unakuta kila siku ana bwana mpya bila hata haya, anawapishanisha kwake tu deile.

Kuna demu mmoja alikuwa Tenant mwenzangu yeye ni manager wa Lodge flani ya kitalii. Yule demu kipindi nilichoishi nae pale kwenye apartments amebadili vidume sio chini ya vi 4 na anaishi na watoto wakubwa tu mmoja wa form 2 mwengine std 6!

Ila hao wajomba waliozunguka na taulo chumbani kwa mama yao ni balaa.
 
Your matured now,

Ila sidhani kama baadhi Ya wanawake wenzako kama watakuekewa , maana wengine wana vupaji Vya kuomba omba
 
Asante sana.mnioe sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…