Wanawake tunaolewa na walio tayari kwa ndoa

Upo sahihi

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
 

Jeuri sio kitu kizuri kwa wakubwa zako...ungewajibu kiustaarabu wala usingepungukiwa kitu...na hata uwe na fedha na elimu bila kuwa na mume kuna heshima fulani kijamii unaikosa.
 
Alafu mkiwa washkaji Raha sana
 
Dah!
Naendelea kusoma comments
 
Lkn ikiwa hivo mwisho wake sio nzuri
Sio kweli akili ya mwanadamu imepewa uwezo Mkubwa wa ku-learn na kuushawishi moyo na mwili maisha ni yako uchague kusuka au kunyoa

Mambo mengi tunayoyafanya mfano kazi n.k sio Yale tulivyokua wadogo tulikua tuna-dream kuyafanya tukiwa wakubwa, lakin circumstances za maisha zimetufanya tufanye vitu ambavyo hatukuwahi kuvifikiria
 
😂
 
Kiukweli wame zenu Ni wale mliowapa uschana wenu😎

Nyie mnaliwa na mnao waheshimu iwe ni kimuonekano,Fikra zenu even material things au status.
wahuni( Manipulators ) wanajiweka vile mnavyo watafsiri wawatafune.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…