Wanawake tunaolewa na walio tayari kwa ndoa

Wewe unaeza ishi na mtu huna kabisa hisia nae?
Tatizo tunafanya maisha kuwa complicated sana as if tunaishi milele hilo ndo tatizo mara Sina hisia nae

Fantasy zinatesa sana wanawake nawakati mda wetu wa kuishi ni mfupi sana
 
Hilo unalosema ni kweli kabisa lakini kiuhalisia ni wanawake wachache sana wenye uthubutu wa kumvumilia mwanaume aliefilisika mkuu. Kama mimi muongo we jaribu kufilisika uone wifi ana react vipi
 
si mnapenda ndoa za kulazimisha, kaeni mkao wa kula mtaolewa mtazalishwa na kuachika, mtaishia kujiita single mothers ushuzi mtupu... Halafu wanawake mkae mkijua mwanaume anachotaka ni heshima tu na kwa mwanaume ndoa siyo jambo la heshima na thamani kwake, mwanaume anapo oa maana yake amechagua mwanamke ambaye atamzalia watoto na atalea familia... Ukimuheshim mwanaume atakupenda, ukimchukulia poa atakudampo, mwanaume hawez kumpenda mwanamke kama hajaheshimiwa kwanza... Na usirogwe ukaingia ktk ndoa kwasabab unataka tu ndoa ila humpend huyo mwanaume nakuambia baada ya miez kadhaa mwanaume akigundua unamchukulia poa basi maisha yako yote utaishi kama jehanam... Achaneni na hao wapumbavu wanao wadanganya unaweza kuishi bila mume wakat wao moyoni mwao kilasiku wanalia kwanin waliachana na waume zao, ni aibu na fedheha mwanamke unaachika alafu unaishi maisha ya upweke upoupo tu hakika hakuna atakaye kuthamin na kukuheshimu...
 
Hilo unalosema ni kweli kabisa lakini kiuhalisia ni wanawake wachache sana wenye uthubutu wa kumvumilia mwanaume aliefilisika mkuu. Kama mimi muongo we jaribu kufilisika uone wifi ana react vipi
Bahati nzuri nipo single,wanawake wenye uthubutu wapo japokuwa siku hizi mnajiendekeza kwani mnapenda sana kuiga,mpaka mnashindwa kutofautisha lilipi ni hitaji lako la msingi na lipi ni luxury.
 
Ajabu ni kwamba mwanamke anafundishwa kupenda

"Wanawake watu wazima wafundishen wanawake wawapende waume zao"
Dunia ya Sasa sio kama ya hapo nyuma kidogo vijana wakike kwa wakiume wanaongozwa na tamaa na mihemko hata ufundishe vipi SoMo la kupenda kwa dhati Bado watafeli tu. Wake kwa waume hawako tayari kudhibiti tamaa zao za mwili na fedha
 
Hilo unalosema ni kweli kabisa lakini kiuhalisia ni wanawake wachache sana wenye uthubutu wa kumvumilia mwanaume aliefilisika mkuu. Kama mimi muongo we jaribu kufilisika uone wifi ana react vipi
Utapewa vijembe mpaka ushangae
 
Single mothers wengi walizalishwa na wanaowapenda a.k.a Wana hisia nao Ila hawako committed (kuwajibika) kwenye mahusiano kuwajibika ndo kitu Cha muhimu
 
Dunia ya Sasa sio kama ya hapo nyuma kidogo vijana wakike kwa wakiume wanaongozwa na tamaa na mihemko hata ufundishe vipi SoMo la kupenda kwa dhati Bado watafeli tu. Wake kwa waume hawako tayari kudhibiti tamaa zao za mwili na fedha
Wanaopenda ni Wanaume ndo maana wanatongoza wanawake mnajifunza kupenda

Tofauti na hapo na nyie wanawake muanze kutongoza na kutoa mahari kama wanaume

Mwanaume ndo anauwezo wa kumpata mwanamke amtakaye sababu kapew uthubutu wa kutongoza na sio mwanamke

Mwanamke anashawishiwa a.k.a kutongozwa
 
Saiz ndoa za bahati mbaya ndo zinadumu
 
Dunia ya Sasa sio kama ya hapo nyuma kidogo vijana wakike kwa wakiume wanaongozwa na tamaa na mihemko hata ufundishe vipi SoMo la kupenda kwa dhati Bado watafeli tu. Wake kwa waume hawako tayari kudhibiti tamaa zao za mwili na fedha
Wanaopenda ni Wanaume ndo maana wanatongoza wanawake mnajifunza kupenda

Tofauti na hapo na nyie wanawake muanze kutongoza na kutoa mahari kama wanaume

Mwanaume ndo anauwezo wa kumpata mwanamke amtakaye sababu kapew uthubutu wa kutongoza na sio mwanamke. Ni wanawake wachache sana wanauwezo wa kumpata mwanaume wamtakaye

Mwanamke anashawishiwa a.k.a kutongozwa
 
Miss Natafuta NEVER fall in love with a dreamer.. Akigutuka usingizini utabaki na maumivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…