Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Wa ligi hao.... Wanawezwa na shetani peke yake... Sisi hatutakuja kuwaelewa maana walipoumbwa tulikuwa tumelala.....ni kwamba mwamba kapata mshahara
1)kalipia pango
2) kainvest kwenye biznes
3) anakatwa kulipia mkopo bank
uwajibikaji upi ambao wewe unautaka??
KwakweliBora angekaa kimya.
Kwa hiyo kumfukulia kaburi lake kutamuhusu..!!??Yaani anakufaje hajatuacha na urithi wa kutosha[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Mimi namuuliza tena wala sijivungi kwani ajui hela zangu nimezifanyia nn. Nikijivunga watoto siwatakufa njaa. Huyo mwanamke hafai. Ndio fikiria jamaa anapitia kipindi champito2 anamfanyia hivyo je laiti kama jamaa angekuwa kafukuzwa kazi?
Sasa nimejua kuwa unabisha na huku hujaelewaSijaelewa nieleweshe.
Yaani anaanzaje kukwama!!Auntie
Mie siwezi kudanganya kabisaa, mnajenga familia moja, watoto walale njaa mama ana hela sababu tuu baba yao kakwama??
Kuwa mkweli auntie, hapo ni sawa??
Unamwacha tu aende ... Akirudi anakuta umesha mkusanyia vyake aende kwao mazimaInasikitisha sana...
Huyo mwanamke wa kulaumiwa ni wazazi wake... hayo ndiyo malezi aliyolelewa kutoka kwa wazazi wake, kumbadilisha inakua ngumu sana...
Cc: mahondaw
Halafu wanasahau kuwa muda anaoutumia kusaka hela, NI muda wa kuhudumia ndoa Kwa usafi, chakula n.k.... YAANI ATUMIE MUDA WA NDOA, LAKINI ANACHOKIPATA KISIWE CHA NDOA...!!!!Hataki tusaidiane, aache kazi alee watoto. It's very simple, huwezi kuamka 0500hrs kila siku, tunakula chakula cha dada, watoto wanapelekwa na dada, wanajifunza tabia za dada, wewe unarudi 2000hrs then ulete story za kipumbavu.
Be "a stay home wife", ili ulete watoto kama " nature" inavyosema. Otherwise if you go out there, I should see the fruits of your labor.
Wasituchoshe na mada za kuishiwa pesa wanaume kabisaaa. Wafiche mbali aibu zao.Jameni leo wikend toeni mada nzuri nzuri tufurah
Hizi mada za kutoana povu wikend si poa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Kwani ile 50/50 inaishia wapi!?Ila huyo kaka ana moyo nae kumuuliza mwanamke "Mbona umetuacha bila kitu ndani?
Kaka zangu tafuteni hela tafuteni hela mbebe majukumu yenu wenyewe
Kwani yeye sio binadamu?Yaani anaanzaje kukwama!!
Mpo wachache, wengine wananilaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HallelujahHataki tusaidiane, aache kazi alee watoto. It's very simple, huwezi kuamka 0500hrs kila siku, tunakula chakula cha dada, watoto wanapelekwa na dada, wanajifunza tabia za dada, wewe unarudi 2000hrs then ulete story za kipumbavu.
Be "a stay home wife", ili ulete watoto kama " nature" inavyosema. Otherwise if you go out there, I should see the fruits of your labor.
Kwani yeye sio binadamu?
Mkuu nilisoma nikaelewa niliamua nikuzingue tu.ni kwamba mwamba kapata mshahara
1)kalipia pango
2) kainvest kwenye biznes
3) anakatwa kulipia mkopo bank
uwajibikaji upi ambao wewe unautaka??
Yaani anaanzaje kukwama!!
Sasa nimejua kuwa unabisha na huku hujaelewa
Kabisa Mkuu, hakuna mwanamke atakaependa watoto wake wakae njaa halafu yeye ana hela.Hapa watu wanaongea tu, kwanza hiyo ndoa hadi hapo ina dosari.
Hawezi jamaa kuanza kumweleza haya mambo huyi mleta uzi, vinginevyo wana mahusiano na ikishafika hapo ukute jamaa amedanganya asipigwe mizinga na kutafuta huruma.
Pili, endapo ndoa yao iko vizuri, wangeelewana kuhusu mipango yao na matumizi yatakavyoenda. Ukute hamshirikishi mke wake na anataka mke atoe pesa zake, mambo hayaendi hivyo.
Jukumu la kuhakikisha familia iko sawa linabaki kwa mwanaume.
Napitwaje sasa na umeweka jibu Kwa wote..!?!?Niliamua nimjibu hivyo nilijua kuna watu kama wewe hawatapitwa.
Jaribu kujibu Kwa mujibu wa uzi ulivyo...Hapa watu wanaongea tu, kwanza hiyo ndoa hadi hapo ina dosari.
Hawezi jamaa kuanza kumweleza haya mambo huyi mleta uzi, vinginevyo wana mahusiano na ikishafika hapo ukute jamaa amedanganya asipigwe mizinga na kutafuta huruma.
Pili, endapo ndoa yao iko vizuri, wangeelewana kuhusu mipango yao na matumizi yatakavyoenda. Ukute hamshirikishi mke wake na anataka mke atoe pesa zake, mambo hayaendi hivyo.
Jukumu la kuhakikisha familia iko sawa linabaki kwa mwanaume.