Ni liability kwako sio kwa kila mtu.
Wewe kama unaona Ni liability wenzio wengine wanaona Ni asset.
Ulitaka tuwe wajinga tusisome???
My apologies!
Upo na akili sana![emoji8]Hallelujah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani anakufaje hajatuacha na urithi wa kutosha[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
hivi oprah winfrey ameolewa? nataka kuwahi siti maana hawa maskini wenzangu watanipa presha bureIla huyo kaka ana moyo nae kumuuliza mwanamke "Mbona umetuacha bila kitu ndani?
Kaka zangu tafuteni hela tafuteni hela mbebe majukumu yenu wenyewe
AhsanteeHapa watu wanaongea tu, kwanza hiyo ndoa hadi hapo ina dosari.
Hawezi jamaa kuanza kumweleza haya mambo huyu mleta uzi, vinginevyo wana mahusiano na ikishafika hapo ukute jamaa amedanganya asipigwe mizinga na kutafuta huruma.
Pili, endapo ndoa yao iko vizuri, wangeelewana kuhusu mipango yao na matumizi yatakavyoenda. Ukute hamshirikishi mke wake na anataka mke atoe pesa zake, mambo hayaendi hivyo.
Jukumu la kuhakikisha familia iko sawa linabaki kwa mwanaume.
mama inaonekana shemeji kapatikana kwelikweli, haya majibu yanamaanishaWadanganye tu wenzio.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kinyonge sanawanawake asilimia kubwa ni selfish sanaa aseee......always chao ni chao. ila mungu atalipiaa
Uwage unanipigia jamani ninywe hata fursana.Shkamoo Dada...!! Mimi ndio napita hapa mjini kasoro baharini
Kupatwa kwa bwana shemeji🤣🤣🤣🤣mama inaonekana shemeji kapatikana kwelikweli, haya majibu yanamaanisha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwajinsi ulivyo elezea, nimejikuta mawazo yangu yanaamini kwamba wewe ni mchepuko wa huyo unae muita kwa jina la kaka mmoja....
moto anauona aiseee kihivi hahahaha, Walai vile mimi ngoja tu nisioe maana nahisi nitawanunulia magunia zaidi ya 10 sitaki upuuzi aiseeKupatwa kwa bwana shemeji🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🙈🙈Hahahahahahaha ningeshangaa usingetia neno hapa
Liko wazi kabisa..unataka waliosoma wasiolewe.Kwakuwa binadamu hatuko homogeneous nakubaliana nahiki unachokisema.
Simaanishi wanawake wasiende shule bandiko langu limelenga kutoa tahadhari tu. Kama tunavyoambiwaga kwenye matangazo ya sigara “onyo uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako” halafu wakati huo huo zao la tumbaku linalotumika kutengeneza hizo sigara ni moja wapo ya mazao makubwa ya kibiashara hapa nchini.
Liko wazi kabisa..unataka waliosoma wasiolewe.Kwakuwa binadamu hatuko homogeneous nakubaliana nahiki unachokisema.
Simaanishi wanawake wasiende shule bandiko langu limelenga kutoa tahadhari tu. Kama tunavyoambiwaga kwenye matangazo ya sigara “onyo uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako” halafu wakati huo huo zao la tumbaku linalotumika kutengeneza hizo sigara ni moja wapo ya mazao makubwa ya kibiashara hapa nchini.
Mwngine yupo humu mwenye hizi akili,sijui akili za wapi hiziAfu anaibuka mtu anakwambia ke wasisome sijui yeye shule alifundishwa nini
Ukishajiona hautoshi kwenye nafasi ya kuwa mume, nakushauri usioe tu. Ni vyema umejitambua mapema.moto anauona aiseee kihivi hahahaha, Walai vile mimi ngoja tu nisioe maana nahisi nitawanunulia magunia zaidi ya 10 sitaki upuuzi aisee