hahaha kuna wanawake wengine ukioa kama wewe walai vile utaishia kufungwa, so mimi ni kama wewe yaani wote "ke" hahahahahUkishajiona hautoshi kwenye nafasi ya kuwa mume, nakushauri usioe tu. Ni vyema umejitambua mapema.
Yaani.
Hili la kuto kusoma sikubaliani nalo kabisa.
Kupitia kusoma nimejifunza mengi Sana..pengine Hadi kuwa hivi nilivyo Ni kwa sababu ya shule
Umemaliza kila kitu
Mwngine yupo humu mwenye hizi akili,sijui akili za wapi hizi
Mwanamke umebahatika kupata mwanaume wako wa ndoa,mnaishi vizuri tu,lakini kwa nini sisi wanawake tunakuwa tunawategea wanaume na huku unajua fika hali ya mmeo? Na huku tuna ingiza vipato vyetu wenyewe
Kuna mkaka nimemuonea hadi huruma
Huyu kaka ni mfanyakazi wa serikali na mke wake pia
Siku za hivi karibuni amemaliza chuo,ila gharama za chuo alikuwa anajigharamikia kwa kiasi kikubwa na kulingana na maisha ya chuo na gharama ,aliweza kukopa kwenye Benki moja hivyo kwa wastani kwa makato ya mshahara wake ,mshahara ukawa mdogo sana,na ulivyotoka wa mwezi uliopita alilipa kodi ya nyumba na nyingine kwenye shughuli za kilimo,akawa hana kitu
Na bahati nzuri mke wake anajua hali yake ya uchumi na kila kitu
Sasa leo mke wake kasafiri kwenda nyumbani kwao,na kwa vile mke wake anajua hali ya mme wake,mwanaume akafikiri mwanamke angefanya shopping ya mahitaji ya ndani kabla hajaondoka ili watoto wao watatu na mmewe wasipate shida
Lakini mwanamke hakununua mahitaji ya ndani ameondoka kwenda kwao akisema wazazi wake wamemuita kwa dharura
Mwanaume alivyojaribu kumuuliza "Mbona umetuacha bila kitu ndani?
Majibu ya mwanamke" Hivi wewe si ndo mwanaume, yaani unadiriki kuniambia jambo kama hilo,kwani mimi ndo mwanaume wa familia,wewe fanya mpango mle na wanao lakini sio kuniambia mambo ya ajabu"
Loh! Kaka wa watu mpaka nimemhurumia,
Jamani na sisi wanawake tuwe na utu,familia ni ya wote, na kama mwanaume hali si nzuri,ajibika asilimia 100,lakini si kwa roho mbaya hiyo
Lizarazu huyo🤣🤣🤣🤣🤣
Najua watoto wake wa kike wataishia la3 C.
Kabisaa jamani...Kukwama kupo kwa kila mmoja wetu. Panapokua na mawasiliano au makubaliano, haiwi tatizo.
Mwanaume ni binadamu, kukwama kupo tuu! Mbona sie tunakwama?, na kazi tunafanya?!Yeye ni mwanaume, mwanaume anakwamaje kwamfano?!!!!![emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Naombeni mnielewe mimi simaanishi kwamba wanawake wasiende shule. Shule ni muhimu tena sana kwa dunia ya leo. Mimi mwenyewe binti yangu lazima aende shule tena ntampeleka shule zenye ubora kuliko hata zile nilizosoma mimi.
Kilichonifanya mimi kuwa na mawazo hayo ni mambo ninayoyaona yakiendelea kwenye mahusiano/ndoa ambazo ni za wasomi(hasa mwanamke) jinsi gani zilivyokuwa na misuko suko kulinganisha na zile ambazo hazijengwi na wasomi(hasa mwanamke).
Kwanini ni uongo kwamba ndoa nyingi zinazovunjika ni zile ambazo zinaundwa na wasomi(hasa mwanamke)?
Ni uongo kwamba asilimia kubwa ya wanaume wanaoteswa na mahusiano yao ni wale walioa wanawake wasomi?
Ni uongo kwamba asilimia kubwa ya ndoa zinazoteswa na pepo la ubinafsi ni wasomi?
Sasa kama majibu ya hayo maswali hapo juu ni hapana, kwanini tusione kuna kasoro kubwa kwa mwanamke aliyesoma linapokuja suala la ndoa?
Sipingi watu wakuoa wasomi ila na tahadharisha tu kinachoweza kuwakuta hili wajiandae kwa lolote.
Wanawake waliosoma are good to be with but they have forgone their marriagibility for education/career.
[emoji8]Upo na akili sana![emoji8]
hahhahhahaa ingemtokea kwenye tundu lolote lililo waziIngekua mkewe ningempa tu hela maana kuna watoto ila angekuja kuirudisha tu kwa namna yoyote ile.
[emoji8]
Ila ulikataa kuniwowa!
Hataki tusaidiane, aache kazi alee watoto. It's very simple, huwezi kuamka 0500hrs kila siku, tunakula chakula cha dada, watoto wanapelekwa na dada, wanajifunza tabia za dada, wewe unarudi 2000hrs then ulete story za kipumbavu.
Be "a stay home wife", ili ulete watoto kama " nature" inavyosema. Otherwise if you go out there, I should see the fruits of your labor.
Utakula kwa jasho nitazaa kwa uchungu
Wewe mwana nke umeolewa?Mwanamke umebahatika kupata mwanaume wako wa ndoa,mnaishi vizuri tu,lakini kwa nini sisi wanawake tunakuwa tunawategea wanaume na huku unajua fika hali ya mmeo? Na huku tuna ingiza vipato vyetu wenyewe
Kuna mkaka nimemuonea hadi huruma
Huyu kaka ni mfanyakazi wa serikali na mke wake pia
Siku za hivi karibuni amemaliza chuo,ila gharama za chuo alikuwa anajigharamikia kwa kiasi kikubwa na kulingana na maisha ya chuo na gharama ,aliweza kukopa kwenye Benki moja hivyo kwa wastani kwa makato ya mshahara wake ,mshahara ukawa mdogo sana,na ulivyotoka wa mwezi uliopita alilipa kodi ya nyumba na nyingine kwenye shughuli za kilimo,akawa hana kitu
Na bahati nzuri mke wake anajua hali yake ya uchumi na kila kitu
Sasa leo mke wake kasafiri kwenda nyumbani kwao,na kwa vile mke wake anajua hali ya mme wake,mwanaume akafikiri mwanamke angefanya shopping ya mahitaji ya ndani kabla hajaondoka ili watoto wao watatu na mmewe wasipate shida
Lakini mwanamke hakununua mahitaji ya ndani ameondoka kwenda kwao akisema wazazi wake wamemuita kwa dharura
Mwanaume alivyojaribu kumuuliza "Mbona umetuacha bila kitu ndani?
Majibu ya mwanamke" Hivi wewe si ndo mwanaume, yaani unadiriki kuniambia jambo kama hilo,kwani mimi ndo mwanaume wa familia,wewe fanya mpango mle na wanao lakini sio kuniambia mambo ya ajabu"
Loh! Kaka wa watu mpaka nimemhurumia,
Jamani na sisi wanawake tuwe na utu,familia ni ya wote, na kama mwanaume hali si nzuri,ajibika asilimia 100,lakini si kwa roho mbaya hiyo
hapana Unakosea!! kuna kipindi sisi wapapambanaji tunakosa hata mia..huyo mwanamke ningemuacha huwa sitaki ujinga hata kama nina watoto naeIla huyo kaka ana moyo nae kumuuliza mwanamke "Mbona umetuacha bila kitu ndani?
Kaka zangu tafuteni hela tafuteni hela mbebe majukumu yenu wenyewe
Hii umeiconclude kwa ke wote ndomana unakua attacked ila kiukweli hivi vitu vinatokea kwasababu tofautitofauti either ni kwa ke or me na sio wote walioenda shule hawana adabu kwenye ndoa zao ni wachachekwa kukosa maadili na wengine wamejitoa sana kwa me lakini wameishia kupewa maumivu ndomana wamegeuka kuwa malshababu period
Msameheni bure sio kosa lake
Brother unawajua wanawake kuliko waooo...... Umewastudy sana asee