Wanawake tuwe waelewa tukiwa kwenye ndoa jamani

 

You damn right chief! japo kuna watu hapa naamini umewaudhi kwa hii comment yako lakini ndio ukweli wenyewe.

For woman education/academic intelligence is insignificant when it comes to social life.

Wameprove hii kitu wenyewe, mabibi na mama zetu ambao wengi wao walikuwa ni ma illiterate wamezaa na kulea watoto katika misingi mizuri ambao leo hii wanaonekana majembe.

Lakini angalia hawa wa millennials wenye madegree na kuendelea, hawajui hata kulea, watoto wao ni wa ovyo sana!
 

Kwaiyo mkuu unachoona wewe malezi mabaya kwa watoto yamechangiwa na ke kuwa wasomi!?
 
Hiyo kauli tu ndiyo imenistua, jamaa ni jasiri sana
Wanaume wengine wamedekezwa kwao mimi nimwambie demu umetuacha je hata kama nnasiku mbili sijaala kama hawezi kujiongeza basi imepita.......but as man I will hussle tooth to nail, kuliko kuomba kujidhalilisha kwa demu
 

Unachokisema kipo ila si kwa watu wote samaki mmoja akioza haimaanishi wote wameoza unaweza pata ambae hajaenda shule na akakuvuruga pia na wapo wengi tu lkn pia haimaanishi wote ambao hawajandashule wako hivyo
 
Majibu ya mwanamke" Hivi wewe si ndo mwanaume, yaani unadiriki kuniambia jambo kama hilo,kwani mimi ndo mwanaume wa familia,wewe fanya mpango mle na wanao lakini sio kuniambia mambo ya ajabu"

Loh! Kaka wa watu mpaka nimemhurumia,
Kwa kweli umetoa funzo zuri,ila nina swali kidogo kwako
hayo majibu umeyashuhudia mwenyewe au umesimuliwa na huyo
mkaka? kama umesimuliwa angalia usinyemelewe na unyumba ndogo.
jiulize kwa ni nini mtu wa jinsia tofauti na wewe akusimulie mambo yake ya ndani?
 
Ila huyo kaka ana moyo nae kumuuliza mwanamke "Mbona umetuacha bila kitu ndani?

Kaka zangu tafuteni hela tafuteni hela mbebe majukumu yenu wenyewe
Kama wewe ni mkristo naomba usome Mithali 31:10-29
Mleta uzi ameeleza kilichomfanya mme awe na upungufu wa pesa
mke wa ndoa ndo rafiki yako wa karibu,ukiona haiko hivyo jiulize mara mbili mbili.
 
Umekaa ukafwatilia matatizo ya ndoa za wasomi,hizi nyingine umeangalia?
Je ,wasomi wanaoishi vizuri hujawaona?.
Endelea kuwaza hivyohivyo.
Kumbe unajua shule Ni muhimu halafu unawaambia wenzio wanawake waliosoma Ni Kama sigara ni hatari kwa afya..halafu unasema hatujakuelewa.
Acha unafiki mkuu.

Wewe usipotaka kuoa msomi,nenda kaoe wa chekechea...hayo Ni maamuz yako.
Ila acha kupotosha wenzio kuwashauri mawazo na kuwapa sababu zisizo na maana.
Unadhani kuishia darasa la 1 ndio uke wema??au kufika chuo ndio kuwa mke mwema?
Endelea kuchanganya elimu na ndoa...siku ya kuoa we beba tu mjinga yeyote.,kwa kigezo Cha ujinga wake wa kuto kusoma.
Siku akikunyosha utajua kuwa elimu haihusiani na ndoa ama tabia ya mtu
 
Usamehewe kwa maoni yako ya kukandamiza ke,nyie visababu vyenu mmevinyamazia or huvioni kwenye ndoa za wenzenu ila mnaconclude ya wanawake kuwa wasomi ndo shida

Wanawake wasomi wana matatizo sana uelewei nini hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…