Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
Sasa kama uko neutral itabidi uchague mwanamke ambaye utaweza kuishi nae kineutral neutral tu.. maana kuna muda utahitaji umagufuli na pia kuna muda unahitaji kwenda kidiplomasia na huyo mwanandani wako!
Tena nakushauri umdake huyu dada wakujiita Ladyred mtawezana sana.