Wanawake tuwe waelewa tukiwa kwenye ndoa jamani

Wanawake tuwe waelewa tukiwa kwenye ndoa jamani

Tutafuteni pesa mabaharia la sivyo tuta-aibika sana na hawa rafiki zake shetani

Nb mwanamke ndo kiumbe pekee aliyeonana ana kwa ana na shetani na wakapiga story mwisho wa siku wakakubaliana kula tunda

So nikisema mwanamke ni rafiki yake shetani namaanisha hamuwezi kukubaliana kama hamn urafiki
[emoji23][emoji23][emoji23]rafik zake shetan
 
Ukikua utaacha.... Umesoma Stori nzima na kuielewa..???
Wewe, Kwa maneno haya, inaonyesha hata mumeo akifa, bado utamfuata kaburini akupe hela ya kutumia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole sana, sifa moja ya wanawake wa kinyakyusa ni kuwa wachakarikaji.
Ukikua utaacha.... Umesoma Stori nzima na kuielewa..???
Wewe, Kwa maneno haya, inaonyesha hata mumeo akifa, bado utamfuata kaburini akupe hela ya kutumia
 
Mkuu unaweza kumuambia mkeo mbona kawaacha bila kitu ndani? Una ujasiri sana.

Bora angejiongelesha ongelesha namna yoyote vile.

Yaani anaonekana amekata tamaa sijui nisemeje ili unielewe.

Ulitaka afanyaje
 
Hiyo kauli tu ndiyo imenistua, jamaa ni jasiri sana
Kwakweli mimi binafsi siwezi kumwambia mke hivo eti "mbona umetuacha bila kitu ndani"....ntakufa nakiburi na njaa zangu kama yeye anaye ka jikoni hawezi kuona kama hamna chakula sina haja ya kuendelea nae kama mke,... how ever much I need her service, kwanini niishi namnyama ndani wakati options zipo nyingi
 
Mpo wachache, wengine wananilaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ilivyoandikwa, tutakula kwa jasho...bora nikakope kuliko kumwambia wife anatuachaje. Inapunguza heshima...hiyo ni kwa upande wangu lakini.
 
Inasikitisha sana...

Huyo mwanamke wa kulaumiwa ni wazazi wake... hayo ndiyo malezi aliyolelewa kutoka kwa wazazi wake, kumbadilisha inakua ngumu sana...


Cc: mahondaw
 
Watafute tu pesa..ili kukwepa hayo majibu
 
Ndo maana nafikiria sana kuoa Tarime mwanamke wa kikurya awezi jibu hivyo
Nawaza tu kwa sauti


Acha kujidanganya ndugu yangu, Wanaume wa kikurya ni shida wanapenda mteremko ndiyo maana unawaza kuoa Tarime kwa kuwa majukumu yote atakuwa nayo mkeo, wewe utakuwa unatanua tu na pesa yako kwa starehe na wanawake.

Mbaya kwa mila zenu hana uwezo wa kuhoji mwanaume.
 
Ila huyo kaka ana moyo nae kumuuliza mwanamke "Mbona umetuacha bila kitu ndani?

Kaka zangu tafuteni hela tafuteni hela mbebe majukumu yenu wenyewe
umesoma thread ukaelewa?
 
Back
Top Bottom