Wanawake, ukimpenda mwanaume halafu yeye hakutongozi huwa mnafanyaje?

Mbo
Ntamuonesha ishara kuwa nimemuelewa na namkubali, sasa kazi kwake kujiongezaa, akini face fresh, akikausha na mie nakaukaa kauuu.

Kamwee siwezi kumtongoza mwanaume kavu kavu, najiona km najishusha thamani vilee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mbona sisi maharage ya mbeya maji maramoja tu
 
Nasubiri afunguke asipofunguka basi. Nina utaratibu wangu mwanaume asiponitamkia kunihitaji ni marufuku kumuanza hata iweje nakufa na tai shingoni.
Unakufa na tai shingoni Huku ukishuhudia unayempenda yuko na Dem mwingine au anampata Dem mwingine, Huku wewe ukiendelea kung'aa sharubu tuu Kwa udomo zege wako, pengine ungemweka wazi una mhitaji angekuskiliza
 
Mwanaume hatongozwi. Asipoanza kunifungukia yeye ndio basi.
 
Kwa sasa kumtongoza mwanamke ni sawa na kujitakia kubeba shida zake tu. Akikuinyesha dalili tengeneza mazingira ya kula tunda kimasihala, kamwe usimtongoze ni hatari sana kwa mustakabali wa uchumi wako
 
Wadada kuna ile time mkaka umemuelewa na unatamani awe boy wako ila ye hana habari na wewe mnafanyaje ili mkaka ajue kuwa unampenda?
Likarango

Usije ukajaribu. Mimi ukinitongoza nitakugonga na kulala mbele.
Kama sisi maboy tu hapo inawezekana amekutamani tu so anakua katimiziwa haja hapo
 
Ntamuonesha ishara kuwa nimemuelewa na namkubali, sasa kazi kwake kujiongezaa, akini face fresh, akikausha na mie nakaukaa kauuu.

Kamwee siwezi kumtongoza mwanaume kavu kavu, najiona km najishusha thamani vilee.

kuwa mwanamke shida ipo kwenye nani unataka kuwa nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…