Pamoja na kutengana na mkewe,Moi hakuwahi kuoa tena.Nikajua alishawishika akaopoa kimada
Watoto nane walimtosha kabisaAlifariki na alizikwa kijijini kwao Moi. Ila nimempenda Moi,hata baada ya kuachana na mkewe. Moi hakuwahi kuoa tena. Wala kuzaa nje ya ndoa.
Geuka umkumbatie jirani yako....au ile ya Mwamposa anakwambia Ailavyuu halafu mnamjibu ailavyuu tuu ......mlokole wa miaka ya 70 ataona maruweruwe tuMkewe Moi yupo hai? Kama yupo hai atakuwa anashangaa namna Walokole wanavyokata rumba (dance)......ni zaidi wa wanenguaji wa Pepe Kale na Koffi Olomide......
Ni vizuri kusifu na kuimba ila now days hali ni mbaya sana hasa kwenye haya makanisa yanayoibuka kama uyoga.
Leo kazikwa karibu na kaburi la mkewe. Mkewe aliitwa Lena. MOI mwenyewe alitaka azikwe karibu na kaburi la mkewe.Watoto nane walimtosha kabisa
🤣🤣🤣🤣🤣Geuka umkumbatie jirani yako....au ile ya Mwamposa anakwambia Ailavyuu halafu mnamjibu ailavyuu tuu ......mlokole wa miaka ya 70 ataona maruweruwe tu
Alikua anakula matunda ya wanawake kimasihara tu mpk anazeeka zake.Pamoja na kutengana na mkewe,Moi hakuwahi kuoa tena.
Namkumbuka mzee mmoja, haya mabadiliko ndani ya kanisa yalikuwa yanampa tabu sana, kwanza lilipokuja la wanawake kuanza kuhudumu, alikua anaahungulia kanisani, akijua mhubiri ni mwanamke anasepa.Mkewe Moi yupo hai? Kama yupo hai atakuwa anashangaa namna Walokole wanavyokata rumba (dance)......ni zaidi wa wanenguaji wa Pepe Kale na Koffi Olomide......
Ni vizuri kusifu na kuimba ila now days hali ni mbaya sana hasa kwenye haya makanisa yanayoibuka kama uyoga.
Duuh aisee,maana saizi mziki ukipigwa watu wanasahau kabisa kuwa wapo church,anayeenda kwenye mkesha na anayeenda club kwenye suala la mziki ni sawa tuNamkumbuka mzee mmoja, haya mabadiliko ndani ya kanisa yalikuwa yanampa tabu sana, kwanza lilipokuja la wanawake kuanza kuhudumu, alikua anaahungulia kanisani, akijua mhubiri ni mwanamke anasepa.
Likaja hili la vyombo vya muziki katika kwaya, likamtoa imani kabisa.
Ikafika mahali kanisani lazima aende lakini mambo yaliyokuwa yakiendelea yanamkwaza, akapata option, kuwa akifika tu kanisani baada ya liturujia, basi analala mpaka ibada inakwisha wanamuamsha anaondoka zake.
Ni mwanamke akitetea haki za wanawake wenzake.Haya mawazo yametolewa na mwanamke au mwanaume ?