Wanawake ukiona mume kakosa cheo mshukuru Mungu mke wa Rais Moi yalimkuta

Wanawake ukiona mume kakosa cheo mshukuru Mungu mke wa Rais Moi yalimkuta

Yaani anaanzaje kushukuru kwamfano[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Moi alifanya LA maana sana!

Hakuna dini yakijinga km ya warokore!

Warokole ndo walichoma Kanisa Uganda watu wakafa
Warokore waliporomoshewa Na magorofa Kule Nigeria Kwa tb Joshua watu wakafa
Warokole ndo walimwaga Mafuta Moshi watu wakafa
Huyu mama nikweli alimuabisha mmewemmewe nibora asingehudhuria kabisa hiyo sherehe.

Mkeo akiwa Mrokole piga MAGOTI mlilie mungu.
 
Huyu maza nae kazingua. Angeweza kumharibia mumewe kwa mkulu kwa kumkatalia mkulu tena kwa kupayuka. Kibusara angesingizia tu kuwa labda hajisikii vizuri au angekaza moyo tu kwani dance ina shida gani. Hata mimi ningemtoa feeder kama angekuwa wife wangu alaah.
 
Upumbavu tu, yani nisipande cheo sababu nitagombana na mke, kama mwanaume hujielewi utabaki kua hujielewi tu , hakuna option hapo, mwanaume ukipanda cheo kama akili zako ziko timamu, huwez kumsahau mkeo ambaye mlianza naye chini hadi hapo mlipo, ni upumbavu na ujinga kwa mtu kusema au kuwaza kwamba, mke eti kushauri wake wasiombe waume zao wapande vyeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulokole wa mke ndo ilikiwa ishu... Mbona Kenyatta hakuyafanya hayo na wakati huo yeye ndo alikuwa rais..??
 
Mwanamke ana kataa mkono wa rais wa nchi (mfalme) hilo lilikuwa ni tatizo ambalo liliitaji ufumbuzi wa haraka! IKULU KUTAMU SANA.
 
Muda mfupi tu uliopita mchana huu Moi amezikwa pembeni ya mke wake aliyemtaliki kama alivyohusia, maisha maisha!
 
Moi alifanya LA maana sana!

Hakuna dini yakijinga km ya warokore!

Warokole ndo walichoma Kanisa Uganda watu wakafa
Warokore waliporomoshewa Na magorofa Kule Nigeria Kwa tb Joshua watu wakafa
Warokole ndo walimwaga Mafuta Moshi watu wakafa
Huyu mama nikweli alimuabisha mmewemmewe nibora asingehudhuria kabisa hiyo sherehe.

Mkeo akiwa Mrokole piga MAGOTI mlilie mungu.
Walokole sio warokole,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisa Kenyatta alitaka kumwachia kiti lakini kwa bahati mbaya hakuwa mkikuyu. Hivyo akalazimishwa aoe mkikuyu! Moi akakubali na hiyo ulosema disco ilikuwa engagement party. Mke wa moi alipata taarifa naye akachukua usafiri wake akatinga katika party.

Moi alikuwa anafungua Muziki na bibiye mpya, mkewe akachukua kiatu akamgonga usoni huo mchepuko!

Sherehe ikavunjika na Kenyatta akatoa amri kuwa amuache kiofisi na ikatamkwa katika Gov gazette kuwa Moi hana mke. Ndiyo maana hakuwa na First Lady!

Unataka nikupe kisa cha kidhunguri na moi kuhusu Lilian na Kwanini hoteli ya kidhunguri iliitwa Lilian tower?
 
Back
Top Bottom