Wanawake ukiona mume kakosa cheo mshukuru Mungu mke wa Rais Moi yalimkuta

Wanawake ukiona mume kakosa cheo mshukuru Mungu mke wa Rais Moi yalimkuta

Nimebahatika kidogo kuwa karibu na viongozi wa Kenya na kama viongozi watatu walinimegea siri. Ni kwamba baada ya Jomo Kenyata kufariki Moi akamfanya Mama Ngina mchepuko wake hivyo kwa miaka mingi Moi alikuwa na Mama Ngina ndo mana kakuowaga tena wala kumrudia mke wake
 
jamaa katawala 24 years bila mke, huu ni mfano bora kwangu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Haya mambo ya wazee tu! Lilian aliwagombanisha kidhunguri na moi akiwa makamo wa rais, enzi hizo k ni mali. Moi akamnunulia Lilian Datsun 100. Kidhunguri akamwambi Lilian wewe si mwanamke wa kutembelea hili kopo. Nenda petrol station utakuta Benzi nyeupo fungua mlango ingia kuna ufunguo washa. Utaona mbele yako kuna gari litakuongoza. Akafanya hivyo mpaka karibu na Nairobi University! Hotel ilikuwa imeandikwa Lilian tower, na makapeti mlangoni welcome Lilian. Kapelekwa kwa suite matata. Akaelekezwa amwambie moi achukue gari lake petrol station na huo ukawa mwisho wa urafiki wao na kidhunguri akaoa rasmi Lilian. Kumbuka wakati huo moi alikuwa Makamu wa Rais. Ila alipoukwaa urais kidhunguri alionja joto ya jiwe. Ngoja nihangaike na mchepuko wangu joanah

hahaha[emoji23] nimemkubali moi
hata mimi ningefanya hivo,hata mimi mtu akinizngua nikipata pesa atajuta


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Haha, unapenda sana kusawazisha mambo, yaani balancing the equation! Ilà sio lazima kipoozeo..
Bila hivo unakua kichaa wallahy
Unafkr kwanini watu wananunua gunia za mkaa na kukata watu antena?..ijue nguvu ya kusawazisha
Akili inakaa sawa kidogo
 
Haya mambo ya wazee tu! Lilian aliwagombanisha kidhunguri na moi akiwa makamo wa rais, enzi hizo k ni mali. Moi akamnunulia Lilian Datsun 100. Kidhunguri akamwambi Lilian wewe si mwanamke wa kutembelea hili kopo. Nenda petrol station utakuta Benzi nyeupo fungua mlango ingia kuna ufunguo washa. Utaona mbele yako kuna gari litakuongoza. Akafanya hivyo mpaka karibu na Nairobi University! Hotel ilikuwa imeandikwa Lilian tower, na makapeti mlangoni welcome Lilian. Kapelekwa kwa suite matata. Akaelekezwa amwambie moi achukue gari lake petrol station na huo ukawa mwisho wa urafiki wao na kidhunguri akaoa rasmi Lilian. Kumbuka wakati huo moi alikuwa Makamu wa Rais. Ila alipoukwaa urais kidhunguri alionja joto ya jiwe. Ngoja nihangaike na mchepuko wangu joanah
Shkamoo Bi Lilian
Uyu kama Hamida huyu inabd tumtafute atueleze vizuri
 
hahaha[emoji23] nimemkubali moi
hata mimi ningefanya hivo,hata mimi mtu akinizngua nikipata pesa atajuta


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndiyo maana nikiona mtu kama Erythrocyte watoto wa juzi wanamuita JPM dictator nawasikitikia. Hawajui akina ouko na wajaluo yaliyowapata huko kenya wakati wa Moi na Kenyatta! Jinsi ardhi ya Kenya more than 30 percent inamilikiwa na ukoo wa Kenyatta. Anyway ni kwa kuwa cold war haipo tena
 
Aaah naomba uweke za usista duu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nizame, mkuu nipe muda! Mpaka Githunguri akamuita mwanae Lilian na sasa yupo 40s. Enzi hizo wanawake walikuwa wanatamba na K zao, siyo leo wanazichunuku kwa sahani. Mtoto wa Kichagga, utampataje wewe? Leo mpaka wanapanda daladala kuwapelekea waingiza miziki katika simu. Enzi hizo vimini vinavaliwa Nairobi Heroin court (sijui kama nimeipatia) ambapo utakuta watanzania kibao! Bendi za kizaire etc Narobi (Nairobi) ulikuwa mji wa maraha- majengo tupa kule.
 
Namkumbuka mzee mmoja, haya mabadiliko ndani ya kanisa yalikuwa yanampa tabu sana, kwanza lilipokuja la wanawake kuanza kuhudumu, alikua anaahungulia kanisani, akijua mhubiri ni mwanamke anasepa.

Likaja hili la vyombo vya muziki katika kwaya, likamtoa imani kabisa.

Ikafika mahali kanisani lazima aende lakini mambo yaliyokuwa yakiendelea yanamkwaza, akapata option, kuwa akifika tu kanisani baada ya liturujia, basi analala mpaka ibada inakwisha wanamuamsha anaondoka zake.
Mimi la Wanawake kuhubiri kanisani Mungu anisamehe tu kama siko sahihi. Naungana na huyo mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana nikiona mtu kama Erythrocyte watoto wa juzi wanamuita JPM dictator nawasikitikia. Hawajui akina ouko na wajaluo yaliyowapata huko kenya wakati wa Moi na Kenyatta! Jinsi ardhi ya Kenya more than 30 percent inamilikiwa na ukoo wa Kenyatta. Anyway ni kwa kuwa cold war haipo tena
kwanini awamu zote hazikufanya kama Magufuli na hao wote wanamjua Moi kuliko huyo Magufuli wako ? jiangalie sana unapotaka kurasimisha uchafu kuwa sheria
 
Back
Top Bottom