Wanawake ukiona mume kakosa cheo mshukuru Mungu mke wa Rais Moi yalimkuta

Rais Moi na mkewe walioana wakiwa watu wa dini sana. Walikuwa walokole wakisali kanisa la African Inland Church.

Moi alipopanda cheo kuwa Makamu wa Rais wa Kenya tatizo kwenye ndoa likatokea hadi kusababisha ndoa kuvunjika.

Tatizo lenyewe lilikuwa Moi alianda sherehe ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Kenya Jomo Kenyatta. Akaja na mkewe Mama Ngina Kenyatta

Sherehe ile ilisindikizwa na muziki wa dance. Moi akainuka akaenda kumchukua Mama Ngina Kenyatta wacheze muziki wakaanza kusakata rumba.

Rais Kenyatta naye akaenda kumshika mke wa Moi ili wacheze naye muziki. Mke akagoma akasema yeye mlokole miziki ya kidunia kwake mwiko.

Alipogoma Rais Kenyatta akamuacha akamwambia Moi Mkeo kakataa tusicheze wote tena kaongea kwa sauti.

Moi akajaa mihasira ya kufa mtu akamwambia utacheza naye huchezi akasema sichezi wakaanza kufokeana. Mke akasema yaani wewe umeharibika kiasi hiki.

Moi toka siku ile akamtoa Ikulu akamswaga shambani huko porini hadi alipompa talaka rasmi.

Waliishi tu vizuri na kuzaa watoto nane lakini cheo kilipopanda tu ndoa ikafa.

Mara nyingine kidume kikikosa kupanda cheo mwanamke piga goti mshukuru Mungu. Habari ndio hiyo.
Unafikiri huyu Moi wa kwetu pia ilani ya chama hadi chumbani kwa mama Moi wake?
 
Kisa Kenyatta alitaka kumwachia kiti lakini kwa bahati mbaya hakuwa mkikuyu. Hivyo akalazimishwa aoe mkikuyu! Moi akakubali na hiyo ulosema disco ilikuwa engagement party. Mke wa moi alipata taarifa naye akachukua usafiri wake akatinga katika party. Moi alikuwa anafungua Muziki na bibiye mpya, mkewe akachukua kiatu akamgonga usoni huo mchepuko! Sherehe ikavunjika na Kenyatta akatoa amri kuwa amuache kiofisi na ikatamkwa katika Gov gazette kuwa Moi hana mke. Ndiyo maana hakuwa na First Lady! Unataka nikupe kisa cha kidhunguri na moi kuhusu Lilian na Kwanini hoteli ya kidhunguri iliitwa Lilian tower?
Type habari kamili mkuu Mambo yanoge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwaiyo mme wako kapanda cheo au?

ahaa embu lete kisa cha lilian

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Type habari kamili mkuu Mambo yanoge

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo ya wazee tu! Lilian aliwagombanisha kidhunguri na moi akiwa makamo wa rais, enzi hizo k ni mali. Moi akamnunulia Lilian Datsun 100. Kidhunguri akamwambi Lilian wewe si mwanamke wa kutembelea hili kopo. Nenda petrol station utakuta Benzi nyeupo fungua mlango ingia kuna ufunguo washa. Utaona mbele yako kuna gari litakuongoza. Akafanya hivyo mpaka karibu na Nairobi University! Hotel ilikuwa imeandikwa Lilian tower, na makapeti mlangoni welcome Lilian. Kapelekwa kwa suite matata. Akaelekezwa amwambie moi achukue gari lake petrol station na huo ukawa mwisho wa urafiki wao na kidhunguri akaoa rasmi Lilian. Kumbuka wakati huo moi alikuwa Makamu wa Rais. Ila alipoukwaa urais kidhunguri alionja joto ya jiwe. Ngoja nihangaike na mchepuko wangu joanah
 
Mke nae labda alileta tafrani sana mbele ya kadamnasi...labda angekataa kimya kimyaaa

shida nadhani sio cheo...ila ni mama kutoenda na wakati..alishaona mumewe kamfata mke wa mwenzie ye kashindwa nini kumchukua mume wa mwenzie wacheze kidogo..ni funzo pia...tuyasome mazingira
Lakini ni kweli kwamba mwanaume akipata cheo/umaarufu/pesa ndoa itayumba sana, labda mke awe ngangari otherwise inaweza kufa.
 
Mke nae labda alileta tafrani sana mbele ya kadamnasi...labda angekataa kimya kimyaaa

shida nadhani sio cheo...ila ni mama kutoenda na wakati..alishaona mumewe kamfata mke wa mwenzie ye kashindwa nini kumchukua mume wa mwenzie wacheze kidogo..ni funzo pia...tuyasome mazingira
Alikataa kimya kimya Kenyatta ndio alienda kutangaza. Nampongeza sana huyo mama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • 59ABE45E-BCC9-454B-807B-07D6653A9A81.jpeg
    59ABE45E-BCC9-454B-807B-07D6653A9A81.jpeg
    11.1 KB · Views: 9
labda kuna sababu nje ya hapo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mke nae labda alileta tafrani sana mbele ya kadamnasi...labda angekataa kimya kimyaaa

shida nadhani sio cheo...ila ni mama kutoenda na wakati..alishaona mumewe kamfata mke wa mwenzie ye kashindwa nini kumchukua mume wa mwenzie wacheze kidogo..ni funzo pia...tuyasome mazingira
Msiwe mnadanganwa mnakubali! Soma hii hapa na upate ukweli

Cc YEHODAYA
 
Haya mambo ya wazee tu! Lilian aliwagombanisha kidhunguri na moi akiwa makamo wa rais, enzi hizo k ni mali. Moi akamnunulia Lilian Datsun 100. Kidhunguri akamwambi Lilian wewe si mwanamke wa kutembelea hili kopo. Nenda petrol station utakuta Benzi nyeupo fungua mlango ingia kuna ufunguo washa. Utaona mbele yako kuna gari litakuongoza. Akafanya hivyo mpaka karibu na Nairobi University! Hotel ilikuwa imeandikwa Lilian tower, na makapeti mlangoni welcome Lilian. Kapelekwa kwa suite matata. Akaelekezwa amwambie moi achukue gari lake petrol station na huo ukawa mwisho wa urafiki wao na kidhunguri akaoa rasmi Lilian. Kumbuka wakati huo moi alikuwa Makamu wa Rais. Ila alipoukwaa urais kidhunguri alionja joto ya jiwe. Ngoja nihangaike na mchepuko wangu joanah
Brooo malizia story nn kilimpata mkuu

Sent from my I phone
 
Back
Top Bottom