Wanawake ukiona mume kakosa cheo mshukuru Mungu mke wa Rais Moi yalimkuta

Unafikiri huyu Moi wa kwetu pia ilani ya chama hadi chumbani kwa mama Moi wake?
 
Type habari kamili mkuu Mambo yanoge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwaiyo mme wako kapanda cheo au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ahaa embu lete kisa cha lilian

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Type habari kamili mkuu Mambo yanoge

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo ya wazee tu! Lilian aliwagombanisha kidhunguri na moi akiwa makamo wa rais, enzi hizo k ni mali. Moi akamnunulia Lilian Datsun 100. Kidhunguri akamwambi Lilian wewe si mwanamke wa kutembelea hili kopo. Nenda petrol station utakuta Benzi nyeupo fungua mlango ingia kuna ufunguo washa. Utaona mbele yako kuna gari litakuongoza. Akafanya hivyo mpaka karibu na Nairobi University! Hotel ilikuwa imeandikwa Lilian tower, na makapeti mlangoni welcome Lilian. Kapelekwa kwa suite matata. Akaelekezwa amwambie moi achukue gari lake petrol station na huo ukawa mwisho wa urafiki wao na kidhunguri akaoa rasmi Lilian. Kumbuka wakati huo moi alikuwa Makamu wa Rais. Ila alipoukwaa urais kidhunguri alionja joto ya jiwe. Ngoja nihangaike na mchepuko wangu joanah
 
Lakini ni kweli kwamba mwanaume akipata cheo/umaarufu/pesa ndoa itayumba sana, labda mke awe ngangari otherwise inaweza kufa.
 
Alikataa kimya kimya Kenyatta ndio alienda kutangaza. Nampongeza sana huyo mama

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • 59ABE45E-BCC9-454B-807B-07D6653A9A81.jpeg
    11.1 KB · Views: 9
labda kuna sababu nje ya hapo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Msiwe mnadanganwa mnakubali! Soma hii hapa na upate ukweli


Cc YEHODAYA
 
Brooo malizia story nn kilimpata mkuu

Sent from my I phone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…