Wanawake: Unajisikiaje kila ukipata mwanaume anaeleweka, anakuwa tayari ana mtu wake

Endelea kukitembeza, mwanaume tunawataka kama wewe mnaodandia magari kwa mbele.
 
Basi sawa. Endelea kuwapanga
 
Rahisi sana tena sana. Nijibu hili swali je,unaamini kwamba Mungu ndiye aliyeiumba Ndoa plus hamu ya kuoa/kuolewa?)
Hamu ya kuoa/kuolewa ndio utayari wa ndoa au?
Hilo la Mungu kuumba ndoa naamini ndo maana alisema tutawaacha wazazi wetu tukaambatane.
 
Wanaume ni washenzi sana mimi nimeamua nitulie tu nisubiri atakayetoka kwa BWANA
 
The time is coming dear,the right one to hold your hand and be closer to you in any situation in your life.

Sikia tatizo lako ni vile venye unaharaka ya kuingia kwenye mahusiano bila ya kuwa na critical analyse,research+evaluation ya mtu ambae unataka kuwa naye kwenye mahusiano,jitahidi uwe umafatilia kwa undani zaidi na hii itakusaidia kutokuingia kwenye mahusiano na hao watu wenye watu wao.

Penda kuwa muwekwaji wazi dhidi ya hao watu,i.e uliza kama wako kwenye mahusiono na wakikujibu hawana basi usiharakishe kukubali mpka pale utakapohisi au utakapojiridhisha mwenyewe kuwa anastahili kuwa nae kwenye mahusiano.

Acha tabia ya kujirahisisha(kuwa mtu mwepesi kukubali) pindi unapotongozwa na hii inaweza ikawa ndo weakness yako kubwa ambayo wanaume wanatumia kama fimbo kukuadhibu.

Usipende kukurupuka pindi unapofanya maamuzi hasa ya kimahusiano kwa kuwa jambo hili ni nyeti na linahitaji utulivu wa kiwango cha hali ya juu sana ili kumpata mtu aliyesahihi na anayestahili kuwa na wewe.
 
tiGo unatoa?
 
Wanawake ni muhimu kuelewa si kila mwanamke atakua kua na Mahusiano ya kudumu

na sometime inachukua mda kumpata mtu sahihi na mtu sahihi anakuja wakati sahihi. Uvumilivu ni muhimu.

Muhimu zadi love yourself (Jitunze) and live your best life mda sahihi ukifika utampata mtu sahihi.
 
Tatizo una ka umalaya sana
 
Hii kauli mnsitumiaga mambo yakiharibika saana
 
Hamu ya kuoa/kuolewa ndio utayari wa ndoa au?
Hilo la Mungu kuumba ndoa naamini ndo maana alisema tutawaacha wazazi wetu tukaambatane.
Basi mkabidhi yeye hilo jukumu kwa 100% ili kazi aliyoianza aimalizie!. Hio ndio kanuni(Vilio ni vingi lakini ukitaka unaweza kujiepusha kuwa mmoja wao). Mungu ni mwaminifu kwao wamtumainiao!
 
Mimi nkiwa single ndo waga napendeza Sasa...si nakuwa nawawinda.
Utakuta nimepiga cheni saa mabling bling.

ila nkiwa double nakuwa kawaida sana...mbwembwe zinapungua
🤣🤣🤣🤣We ni kumi kwa mmoja....wakaka single ukiwacheki tu itawajua mara hajanyoa ndevu,mara msafii ila raba chafu,mara msafi tu ila hajanyoosha yaani anakakitu flan hivi
 
Hahah et rough rough ila mkuu kwani wewe unaweza date na mtu yuko rough
Chukua madini mdogo wangu....naongea kwa experience utampendezesha akishakuwa wako na hutoamini watu watavyokuwa wanamkodolea
 
Uzuri wa mada zinazolenga wanawake “wasemaji” wetu ndio huwa wanazijibu.
Tulia mchumba wewe,tulia tukusaidie.
 

Attachments

  • IMG_20250623_184537.jpg
    88.2 KB · Views: 19
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…